Kwanini michepuko ni watamu sana?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
natumai hamjambo.

wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?

nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.

je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
 
Cha kuiba hicho, bandu bandu....
 
Take this from me, mwanamke yoyote anaejua anatembea na mume wa mtu huwa wanajiongeza sana, wanatumia theory ya SWOT analysis... Madhaifu ya mkeo kwake ndiyo strength , atakupa utamu wote ambao hujawahipata kwa mkeo
 
Mwanaume anapenda sana mademu wa nje kwanza mchepuko unajua kwake unakwenda kwa issue gani hapo hakuna ada sijui takataka gani sijui madogo wamepiganai wewe kule ni game tu ila kwa wife kwa lundo la msala wa kuchelewa kurudi, mara sijui madogo nguo wamechana yani fujo mzuka wa game hamna kabisa
umemaliza kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom