Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
BADILI TABIA...mm ukaguzi hapaana..ila.nadhan yupo kwen mchakato
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA...mm ukaguzi hapaana..ila.nadhan yupo kwen mchakato
Marahabaa, nakuhurumia sana kwa matukio mfululizo yanayokukuta kila baad a ya muda mfupi huku ukiwa kwenye umri mdogo sana
Ya kweli haya? Hebu keta hako ka-link mkuu
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/651463-nahisi-kama-naota-vile.html
Hiyo hapo juu. Hivi kudate maana yake nini?
Just like the old days
BADILI TABIA...mm ukaguzi hapaana..ila.nadhan yupo kwen mchakato
Shem usiogope
Huyo kahairisha hajiui tena
Ingawa kuna hati hati anaweza kushuka na uzi kusimulia jinsi ulivyomkagua
Ili mradi usiingie kwenye himaya yangu ya masai dada na miss neddy. Hawa nimekula kiapo cha kuzaa nao.
Ili mradi usiingie kwenye himaya yangu ya masai dada na miss neddy. Hawa nimekula kiapo cha kuzaa nao.
Mpe mbunye....
Ni kweli, wala asisite na mimi babu yake nitampokea kwa mikono yote miwiliHeeee nakumbuka ulimuambia akimaliza aje kwa wewe babu yake umleee....naona yupo njiani lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums