Kwa nini mapenzi yananifanyia hivi?

Kwa nini mapenzi yananifanyia hivi?

...mume wangu mbona wataka kuniongezea mzigo?
watoto wote ninaowaleo, wengine wakiwa ni matokea ya "ukaguzi' bado unataka kuongeza wengine?
Usijali mke wa ujana wangu. Hawa ni kwa ajili ya ukaguzi. Hakuna anayeweza kuchukua nafasi yako.... Nakupenda sana mama wa watoto wangu.
 
Shikamooni wakuu wangu,

Mie bana nina katatizo

Baada ya kuachana na mpenzi wangu nahisi nina kitu kinanpa hard time,mkurya wangu nampenda sana hata akisoma hapa ajue nampenda katika moyoni

Ila nlipokuwa na x wangu kuna life style niliicop kwake ikiwa na pamoja na kuchange vitu vingi mfano manukato yote alokuwa atumia sabuni ct.na kupenda hobbies zake yani nlijikuta napenda vitu anapenda yeye so na mie nkachange nkawa natumia sawa na yeye coz nlikuwa naipenda harufi yake nikafanya hivo ili hata nikiwa rum kwangu nkisikia zile harufu nazifurahia,ikiwa ni pamoja na kubadili mfumo wa uvaaji,nilikuwa navaa baibui all de tym na ushungi,nliachana kabisa na mivao ya ajabu ajabu ya kisistaa du!!

Sasa nilipoachana nae kila nkisikia harufu ya perfum yangu namkumbuka,nimejaribu kuacha hivo vitu nimeshindwa,nikivaa hata mini skirt najiona nipo uchi nshazoea kujisiriba mkurya wangu hataki kuniona navaa hivo wazazi hawapendi v coz am a chrstian napata shida sana kuzoea sometimz nahis kufa kufa hasa akinipigia sm my x nahitaji nimsahau kabsa ili niweze kufanya maisha na ma new one!!!
Nishaurin wakuu nifanyaje nimsahau huyu kijana wa watu,,

Inatakiwa uendelee kupigana na hiyo hali mwenyewe kwani bila ya hivyo utakwama,ni ngumu kumfuta unaempenda lakini inabidi upigane utafanikiwa
 
Mke wa ujana wangu, hommie wangu Kaizer anafaa sana kufanya hii kazi. Ila kama yampasa kutoifanya, kuna kijana wetu mdogo anayechipukia anaitwa Mentor hakika hatatuangusha.

Kama ikibidi baaasi Arushaone Tooooop!!!


Hivi mchkato wako wa serikali nne uliishia wapi meku?
 
Last edited by a moderator:
Je huyu Mkurya wako ana uhusiano wowote na yule nokia8 wa kwenye ile thread nyingine ambae ameoa binti na akawa anaendelea kuchat na wewe kwenye whatsup?
 
bado unampenda tena sana...zungumza nae iwe kama zamani
 
Mambo ya ukaguzi mwachie Asprin
...wee njo huku bhana,baridi itanigandisha mwenzio
Kweli hii baridi hata siielewi love....natamani kila siku niwe nawe ila ndo hivyo haiwezekani!
Kesho Ijumaa nitajitahidi nije kukuona mke wangu kipenzi!
Miss you sana my lovely wife.
Mwaaaaaah
 
Kila Siku wewe tu bibie mapenz yanakutatizaa??ebu mrudie yoh x unampendaa
 
Ndio matatizo ya kubadilika kwasababu ya mtu fulani mkiachana maisha yanakuwa magumu sana kwasababu maisha yako yote yamebadilika na kuwa sio uhalisia wako bali umekua uhalisia wa mpenzi wako. Jitahidi kuishi maisha yako badilisha vile vya muhimu ambavyo ukivifanya litaharibu penzi lenu ila sio unabadilisha kila kitu kwasababu ya mpenzi
 
Kweli hii baridi hata siielewi love....natamani kila siku niwe nawe ila ndo hivyo haiwezekani!
Kesho Ijumaa nitajitahidi nije kukuona mke wangu kipenzi!
Miss you sana my lovely wife.
Mwaaaaaah



Nakushibiliaa....🙂:cheer2::A S-heart-2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom