Kwa nini mapenzi yananifanyia hivi?

Kwa nini mapenzi yananifanyia hivi?

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Shikamooni wakuu wangu,

Mie bana nina katatizo

Baada ya kuachana na mpenzi wangu nahisi nina kitu kinanpa hard time,mkurya wangu nampenda sana hata akisoma hapa ajue nampenda katika moyoni

Ila nlipokuwa na x wangu kuna life style niliicop kwake ikiwa na pamoja na kuchange vitu vingi mfano manukato yote alokuwa atumia sabuni ct.na kupenda hobbies zake yani nlijikuta napenda vitu anapenda yeye so na mie nkachange nkawa natumia sawa na yeye coz nlikuwa naipenda harufi yake nikafanya hivo ili hata nikiwa rum kwangu nkisikia zile harufu nazifurahia,ikiwa ni pamoja na kubadili mfumo wa uvaaji,nilikuwa navaa baibui all de tym na ushungi,nliachana kabisa na mivao ya ajabu ajabu ya kisistaa du!!

Sasa nilipoachana nae kila nkisikia harufu ya perfum yangu namkumbuka,nimejaribu kuacha hivo vitu nimeshindwa,nikivaa hata mini skirt najiona nipo uchi nshazoea kujisiriba mkurya wangu hataki kuniona navaa hivo wazazi hawapendi v coz am a chrstian napata shida sana kuzoea sometimz nahis kufa kufa hasa akinipigia sm my x nahitaji nimsahau kabsa ili niweze kufanya maisha na ma new one!!!
Nishaurin wakuu nifanyaje nimsahau huyu kijana wa watu,,
 
Marahabaa, nakuhurumia sana kwa matukio mfululizo yanayokukuta kila baad a ya muda mfupi huku ukiwa kwenye umri mdogo sana
 
pole mamy fanya kutafuta hela zaidi achana na mkurya au mapenzi niue usifanye hivyo. mkurya kashaoa nasikia
 
Marahabaa, nakuhurumia sana kwa matukio mfululizo yanayokukuta kila baad a ya muda mfupi huku ukiwa kwenye umri mdogo sana

Nishazoea matukio,,nimeumbiwa matukio,,ila one day b
 
pole mamy fanya kutafuta hela zaidi achana na mkurya au mapenzi niue usifanye hivyo. mkurya kashaoa nasikia

Mkurya hana mke,,kanpeleka had kwa mama yake nahisi atakuwa mume wangu kama akiwa mvumilivu
 
Kumbe bado unampenda eeh....!!
Mpe mpe mara moja moja vikojoleo huwa havigombani,wanagombanaga watu
 
Nahisi mwelekeo wa uzi huu kuchafuka!
 
Nishaurin wakuu nifanyaje nimsahau huyu kijana wa watu,,

While some of these stories u bring here are authored to some percent but some things have realy happened to u.

Unaonaje ukiachukua likizo kidogo toka kwenye haya mahusiano unayoyaita mapenzi?
Kwa sababu hata definition ya kupenda inaonesha hujui.....Kama bado una feelings na ex wako manake huyo mkurya ni rebound relationship. Si haki kwake wala kwako. Unatakiwa uchukue angalau kalikizo upumzishe
 
Nahitaji kupendwa siwz kuwa aln
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom