Kwanini majina yetu asili tuliyakana na kuona ya wazungu/waarabu ndo yanafaa?

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,268
1,983
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.

Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim.

Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?

Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.

Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
 
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.

Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?

Tukuulize wewe na hilo jina lako
 
Hata usitulaumu sisi walaumu wazee wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.

ilitakiwa tufuate mazuri ya tamaduni nyengine ila yale mazuri ya kwetu tusiyaache!. ukweli ni kuwa wenzetu walitukuta tukiwa bado hatujastaarabika na ndio maana wazee walirubunika you just imagine walikuja africa tayari wakiwa na mitutu(bunduki),mashua walikuwanazo tayari,tren huko kwao walikuwanazo tayari.

Sisi huku ndo kwanza tunaamini uchawi wakisema maji ili risasi ibadilike iwe maji!.

Tamaduni dhaifu ni dhaifu tu!.
 
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.

Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?

Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.

Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Walioleta tabia za kufukua mifereji ya kunduchi ni waarabu
 
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.

Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?

Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.

Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Ulimbukeni tu.Na sasa ujinga wa kuiga majina ya kwenye muvi umetamalaki.
 
Tulilazimishwa, sema ndio hivyo hatufundishwi historia ya jinsi hao mabwana walivyokuwa mafedhuli.

Mpaka sasa kanisa katoliki hawabatizi mtoto akiwa na jina la kiafrika, watajishaua kuwa unaweza kuchagua jina la mtakatifu wa kiafrika, lakini hao pia majina yao sio ya kiafrika.

Enzi hizo za mkoloni huduma zote muhimu kama elimu na afya ziliachwa zifanywe na wamishenari. Kwahiyo mababu zetu hawakuwa na namna.
 
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.

Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?

Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.

Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Ujinga unaanza na wewe uliyekubali kwenda shule kusoma.
 
Yale yetu ya asili watu wameya test saana wakaona yana matatizo. Kuna uwezekano wa kumrisisha mtoto roho za kiukoo.

Kwa mfano dogo akizaliwa ukampa jina la babu yake " Kaswizo" lets say basi % kubwa tabia zote atafuata za huyo babu yake Kaswizo.

Tukaona ni vizuri tuwape haya ya kigeni ambayo mengi ni ya dini zetu ama maana nzuri.
 
Siyo vibaya kama jina lina maana nzuri sababu hata lugha zao tunazisoma mashuleni eg; English so kama jina ni la kizungu au kiarabu lakini likawa na maana nzuri sioni shida hata tungekuwa na majina yenye asili yetu still yangepaswa yawe na maana.
 
Tulilazimishwa, sema ndio hivyo hatufundishwi historia ya jinsi hao mabwana walivyokuwa mafedhuli.

Mpaka sasa kanisa katoliki hawabatizi mtoto akiwa na jina la kiafrika, watajishaua kuwa unaweza kuchagua jina la mtakatifu wa kiafrika, lakini hao pia majina yao sio ya kiafrika.

Enzi hizo za mkoloni huduma zote muhimu kama elimu na afya ziliachwa zifanywe na wamishenari. Kwahiyo mababu zetu hawakuwa na namna.
Tukisema tulilazimishwa ni uwongo,kama tulilazimishwa kuwaje mpaka leo tunayatumia?ni nani leo anamlazimisha Mtanzania amwite mwanae jina la kigeni?Kanisa Katoliki halibatizi mtoto jina la Kiafrika?

How,una maana majina kama Neema,Faraja Bahati nikiyataja kwa uchache siyo majina ya Kiafrika?nieleweshe jina la Kiafrika linapaswa lifananeje?
 
Weee! Kwa hiyo niache kuitwa Hussein na kuvaa kobaz na kubadili rafudhi yangu yakiarabu na kuvaa balagashea na kunywa kahawa ya kugongea( kujiombeleza) kijiweni nirudi kwenye jina langu la zamani Ntuntufye. Sahau hili kabsa
Laiti jina lako halisi lingekuwa Hussein alafu la kiarabu lingekuwa Ntutufye bado ungekataa kuitwa Hussein
 
Hata usitulaumu sisi walaumu wazee wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.
ilitakiwa tufuate mazuri ya tamaduni nyengine ila yale mazuri ya kwetu tusiyaache!. ukweli ni kuwa wenzetu walitukuta tukiwa bado hatujastaarabika na ndio maana wazee walirubunika you just imagine walikuja africa tayari wakiwa na mitutu(bunduki),mashua walikuwanazo tayari,tren huko kwao walikuwanazo tayari. sisi huku ndo kwanza tunaamini uchawi wakisema maji ili risasi ibadilike iwe maji!.

tamaduni dhaifu ni dhaifu tu!.
Hivi ni tamaduni dhaifu au sisi (waafrika) ndo dhaifu? Kwa mtazamo wangu Waafrika ni watu dhaifu sana hasa waafrika wenye ngozi nyeusi.
 
Back
Top Bottom