Kwa nini mabibi harusi wanalia??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
1-Wengine wanaogopa fedheha kwa kuwa wanaolewa /anaolewa akiwa si bikra


2- Ni uoga wa kuanza kulala bila nguo ya ndani akiwa kwenye ndoa na mumewe


3-Sababu ziko nyingi lakini asilimia kubwa wanalia kwa hofu ya kuogopa mama mkwe


Na wale wanaocheka na kufurahi
ukichunguza utakuta mama mkwe ameshatangulia mbele ya haki au anaishi nchi ya mbali


Mama mkwe anatusaidia watoto wa kiume tusifanywe mazombi
 

Attachments

  • image.jpg
    10.5 KB · Views: 115
Boflo umeamua kuileta tena hii?
au hukuwa umeileta wewe juzi?
itafute, ipo humu humu utaona watu walivyochangia
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri wengi wanakuwa wanalia kwa sababu wanahofia kusalitiwa au kuwa faithful to their partners.
 
Hawajiamini kama watamudu majukumu yao katika ndoa.
 
1. Analia coz anauuza uhuru wake...
2. Anaingia ktk Gereza lisilo la lazima...
3. Asipolia ataonekana ye kahaba kashazoea kunanihiwa.
So akilia inaleya Picha as if anaogopa kunanihiwa...

Shenz zao
 
broda hii inaitwa the point of no return. ucfanye mchezo. cjambo jepes mimi wa kwangu niliamka saa kumi asubuh ili nikamwahishe saloon ikawa mama yake alikuwa amelala. amefika njian ilibid nimrudishe ulikuwa ukunga anapiga. akarud akamkumbatia mamaye na wadogo zake huku akilia. huwa wakikumbuka past pamoja walivyokulia na kupendwa na wazazi halafu leo Mungu amemteua mwenzie waplan maisha mengine inakuwa maumiv kidogo.
 
Unajua furaha ikizidi mtu unaanza kulia, ni emotions tu!!: Crying is believed to be an outlet or a result of a burst of intense emotional sensations, such as agony, surprise or joy. This theory is more plausible as it explains why people cry during cheerful events, as well as very painful events. (Crying - Wikipedia, the free encyclopedia).
 
Dadavua vizuri mkuu mamamkwe wanatufanyaje wanaume tusionekane mazombi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…