Kwa nini Kikwete hasafiri tena?

Kwa kweli ni kitu cha ajabu sana kwa JK kutosafiri kwa muda mrefu kiasi hiki.

lkn si safari za nje tu. Hata za hapa hapa bongo zimepungua sana to aingie madarakani mara ya pili. Sasa hivi anaenda mikoani kufungua/kuzindua mkutano au barabara!! Siyo kama pale mwanzoni walikuwa wanashindana na Lowassa kwenda mikoani.

But this s a blessing in disguise. Safari zao za mikoani zilikuwa zinatugharimu sana. Ilikuwa akienda mkoa fulani, watendaji wote wa wilaya na taasisi zote zilizopo mkoa huo walikuwa wanashiriki kuzunguka nao kwa muda wote watakao kuwepo huko. This was very costly indeed kwani pesa za kuzungukia zilikuwa nje ya budget!!!

Ingawa sina hakika na sababu zilizomfanya apunguze safari za nje ya nchi, sababu kubwa ya kupunguza safari za ndani ni za kiusalama. Sasa hivi yuko very unpopular kiasi kwamba wana TISS wamemshauri asiende ovyo mikoani kwani anything untoward can happen to him!!
 
Most of the developed countries sasa hivi ni winter kali sana labda aende Australia kuangalia golf...... na pia miezi ya December na Januar nchi nyingi zilizoendelea zinakuwaga holidays wanasubiri till feb. Nakuhakikishia mwezi wa tatu ukifika atasafiri kama hana akili nzuri we subiri mwaka uchanganyie....
 
Hivi account yake ambako mshahara wake unapitia iko katika bank gani?na mpaka sasa ina kiasi gani salio lake?
 
Kwa kweli ni kitu cha ajabu sana kwa JK kutosafiri kwa muda mrefu kiasi hiki.

lkn si safari za nje tu. Hata za hapa hapa bongo zimepungua sana to aingie madarakani mara ya pili. Sasa hivi anaenda mikoani kufungua/kuzindua mkutano au barabara!! Siyo kama pale mwanzoni walikuwa wanashindana na Lowassa kwenda mikoani.

But this s a blessing in disguise. Safari zao za mikoani zilikuwa zinatugharimu sana. Ilikuwa akienda mkoa fulani, watendaji wote wa wilaya na taasisi zote zilizopo mkoa huo walikuwa wanashiriki kuzunguka nao kwa muda wote watakao kuwepo huko. This was very costly indeed kwani pesa za kuzungukia zilikuwa nje ya budget!!!

Ingawa sina hakika na sababu zilizomfanya apunguze safari za nje ya nchi, sababu kubwa ya kupunguza safari za ndani ni za kiusalama. Sasa hivi yuko very unpopular kiasi kwamba wana TISS wamemshauri asiende ovyo mikoani kwani anything untoward can happen to him!!

Hivi ni busara kuwa na rais anayetuogopa?tumeangalia tbc news jana anahutubia mabupane tulishangaa sana kuna watu wako mbele na nyuma'yaani kazingirwa na watu wa usalama'alichaguliwa na nani huyu?
 
Au kushtushwa El anataka kumpindua? ashashindwa so asafiri tu
 
ratiba inaonyesha alitakiwa aende iceland january 14, 2012. nafikiri amegairi maana hiyo nchi haina mabembea
 
Hata kama wamemchoka, hawawezi kumzuia! Kwani wanamualikaga? Kwani wanampaga nauli ya kurudia?
wamemchoka huko anakoenda maana hamna cha maana anachoomgea zaidi ya kujichekesha na kulala tu kwenye mikutano sijui aliumwa na mbung'o utotoni
 
Si unaju mbuga za serengeti, mlima kilimanjaro na kisiwa cha zanzibar vimepata watalii wengi sana tangia marekani alipovitangaza duniani kupitia CNN? Hii yote ni kwa sababu ya ujasiri wa raisi Kikwete. Huwezi kuwa na unemployment rate 89% halafu ukakaa nchini bila kuhangaika kule na huku kuwatafutia watu wako uwapendao kazi. Nyumbani mkiwa na ziki kali(ngama), baba anawajibu wa kutembelea marafiki na jamaa kutafuta msaada, sasa kwa kikwete kuona uhaba wa ajira ulivyo mkali hapa tanzania, je afanyeje?

Soko la ajira zuli analo bepari, ndio maana museveni kapeleka majeshi Iraq kunsaidia mmarekani. Ndio maana pakistani inawachinja magaidi kwa niaba ya marekani na ulaya. Ndio maana Jordan kaweka urafiki wa kibalozi na Israel. Unapohangaikia kitu kiitwacho unemployment lazima uwe mjanja kama nyoka na mpole kama njiwa. wewe bepari gani atakusaidia shida zako kama unakwenda ulaya na marekani huku umevaa Chou-EN-Lai ! au manguo yale ya kikomunist ya korea kaskazini?

Umuhimu wa raiasi yeyote yule duniani upo kwenye kufight unemployment maana kazi ni uhai. Kikwete ndie raiasi wa kwanza tanzania kutamka wazi kuwa atacreate jobs kwa raia zake na sio kuwaita wazururaji . machinga complex ni mfano mmojawapo wa kuwawekea economic prosperity raia zake. Tembelea mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Rukwa, halafu uone kitu kiitwach unemployment kilivyo na kero na kuwafanya watu wengi kufa kabla ya mika 45.

Nyie watu mnao mlaumu kikwete na safari zake, ndie mliokuwa mnashangilia Kifo cha mabepari Tanzania. Hamkujua kabisaa kuwa kifo cha mabepari ni hatari sana katika jamii kwa watu kupoteza kazi na kurudi kuishi maisha ya Ngama.Mihogo, machenga, kipolo cha wali sio vitafunio vya chai, bali maisha ya ngama ndio yanapelekea watu kuishi hivyo kwa sababu ya kutokuwa na ajira.

Kikwete mungu akubariki raiaisi wetu.Ndie wewe shujaa, mwerevu akeshae mwepesi katika kuliona shida la kuwa na idadi kubwa ya wapiga kura wasio na kazi. tembea pia na katika Israel ambako kuna manepari wengi sana wanao outsource kazi nchi za asia na ulaya mashariki.
 
Akisafiri kelele asiposafiri kelele tena.
Mna jema nyie watu?
OTIS
 
we ni riz one nini!! Haiwezekan mtu wa kawaida.nenda kanywe nae chai kama unampenda sana
 
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa lakini nafikiri zilifanyika kwa siri sana,mwenye taarifa atutonye kidogo tunatengeneza biography ya huyu mweshimiwa kikwete!

Watu bhana, sasa mnataka afanyeje, maana akisafiri mnahoji, asiposafiri mnahoji, toeni maoni basi mnataka afanyeje!!!!!??????????
 
Back
Top Bottom