mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
- Thread starter
-
- #21
Kumbe weng tunaitaji, lakin nataka kuuliza iv ni kwa sababu tatizo la ajira au ni moyo wa dhat wa kuitumikia nchi, maana ulivokua Chuo, ingawa kuna ambao wanapenda toka utoton lakin nafas iyo duuuh ndo mana wimbi la uhitaj linakua kubwa na wenyewe wanaanza kubana wanavojua wao kama umri, kwa mfano siku zote ilikua mpaka 33 kwa proffesinal, wameminya kidizn mpaka 25, afu saiz naskia tena wameminya wanataka sayance tu!
vijana tafuteni mitaji mjiajiri ...jkt haitoi ajira.
23 Na kuendelea kama umefika form6 au chuo wanakuchukua ila JKT wanataka chini ya hapo sababu vijana wengi wanaojitolea jkt mwisho wao ni form4^kurud nyuma
23 Na kuendelea kama umefika form6 au chuo wanakuchukua ila JKT wanataka chini ya hapo sababu vijana wengi wanaojitolea jkt mwisho wao ni form4^kurud nyuma
Never ever kwa raia kwenda officers cadet!!!!!!!!Officer cadet hata raia wanakwenda bwana.
iyo fomu inauzwa sh ngapi?
Yangekuwa ndiyo yaliyoko huko basi ndugu zetu waliokimbizwa mchakamchaka wasingeandamana kwa kudai ajira wakati walijazwa ujasiriamali kwa miezi 6, hebu bahatika uende ukachungulie uje utuhadithie yaliyoko huko ingawa naamini hutosema ukweli yaliyokukuta na uliyoyakuta huko.ujasilia mali na vngne vng xana nasikia vinapatika huko
JKT haiajiri so piha JKT 6month then urudi kwenu bt kwa uzoefu huwa zinatok mwanzoni mwa mwez2 then wanaingia vikosin mwez march. jaribu kufyatilia WILAYAN kwa DC uskae tuu. zle huwa ni ju kwa ju. So struggle