mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
Mazoezi na mafunzo ni magumu kwa over age!

aiseee babayangu kwa ninavyo jua kama unaelimu kwanzia digree na kwendelea wanachukuwa kwanzia 18 mpaka 32 ila lazima ununue fomu wanaitwa baba kani2ma lakini ukipitia mkoan lazima uwe na umir wa miaka 18 mpaka 24
dah,we mpaka ununue fomu tena mbona chombo hki ni kisafi hakiusian na mambo ya pesa inavyo semekana mie nahitaji hyo fomu kama itawezekana
nitajie umri wako kamili na elimu yako nitakupa ushauri

32, BSc Comp Sc, MSc INfo Sys Mkuu rombonitajie umri wako kamili na elimu yako nitakupa ushauri
nitajie umri wako kamili na elimu yako nitakupa ushauri
Huko kwenye officers cadet wanaoenda ni wanajeshi, so it means hao tayari wana mafunzo ya kutosha na hata akienda akiwa na umri wa miaka 30 anaweza kumudu hayo mafunzo!!!! ila otherwise kwa watu ambao ni form four entry age ya jeshini ni 23 maximum!!!!
Huko kwenye officers cadet wanaoenda ni wanajeshi, so it means hao tayari wana mafunzo ya kutosha na hata akienda akiwa na umri wa miaka 30 anaweza kumudu hayo mafunzo!!!! ila otherwise kwa watu ambao ni form four entry age ya jeshini ni 23 maximum!!!!
aiseee babayangu kwa ninavyo jua kama unaelimu kwanzia digree na kwendelea wanachukuwa kwanzia 18 mpaka 32 ila lazima ununue fomu wanaitwa baba kani2ma lakini ukipitia mkoan lazima uwe na umir wa miaka 18 mpaka 24
Kaka, ebu nieleweshe, JKT wanatoa ujuzi gani ambao utamuwezesha mtu kujiajiri!??