Mkuu ule mshangao na mshtuko ulikuwa mkubwa sana, alitia huruma aisee, hakuamini macho yake.
Unajua tena viongozi wetu wamezoea kupigiwa makofi ... sasa ikitokea namna hiyo lazima iwe shock... kwake, hasa ukizingatia yeye ni wa kwanza kati ya viongozi wote waliopita kutokewa na hilo tukio ambalo limemulikwa na vyombo vya habari mpaka nje ya mipaka.
Upande mwingine JK aichukulie hii kama challenge maana hao wameamua kumfikishia malalamiko yao waziwazi tofauti na mipinzanii ndani ya sisiem ambayo ilikuwa ikishangilia huku ikijua haikubaliani na mambo yake