Kumbe wabunge wa CHADEMA ni muhimu sana Bungeni?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,260
33,857
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.
 
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamaua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki sana kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.

Bila ya CHADEMA Bunge la Ndugai ni Kitchen Party tu. Ni la mapambio.
 
Yaani kama mbunge anapewa kuchangia budget ya afya wanatumia kusema Chadema na kumsifu Raisi basi kuna ulazima wa bunge kweli.
Huwa wanashangaza sana. Mtu muda wote anapayuka tu kuhusu CHADEMA "kukosea" kutoka Bungeni na kuwasifu wale wa CHADEMA walioko Bungeni!!
 
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki sana kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.
Mbona hilo Liko Wazi.. Pale ndipo kuna Vichwa, na wale wa upande wa kwanza wapo na Hawasomi Maduhuli/ Makabulasha, wao Nikujiandaa Kupiga tu Makofi...
 
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki sana kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.
Mungu ibariki Chadema
 
Wale wa ccm ni maboya tya kusifia tu
Udhaifu wao hufichwa na uwepo wa wabunge wa chadema bungeni
Ndio maana fupi kapanga nabashite wawarudishe bungeni kinguvu
Bunge limepwaya
 
Back
Top Bottom