Kwa nini jina hubadilika usiku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini jina hubadilika usiku?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malila, Feb 3, 2009.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bila shaka wana -jf wengi mmekutana na jambo hili au mmesikia; ukienda kuomba chumvi usiku kwa jirani yako kwa kutaja neno chumvi hakupi ila ukisema dawa ya mezani utapewa. Kali zaidi wengine ukiomba chumvi kwao usiku hawakupi kabisa, je hii maana yake nini? Hiki ni moja ya vituko vya uswahilini. Karibu tujadiliane.
   
Loading...