DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,409
AaaahaNilikuwa nawaza pia, kwanini viwanda vya pesa visitengeneze pesa nyingi kila mtu apewe, anunue, ale ashibe, anunue jembe na shoka, anunue shamba alime, anunue mbegu...
Mwishowe atakayefilisika akachukue tena pesa?
Mashine zifanye kazi badala ya binadamu, kila mtu ale chakula kizuri....
Huenda wivu wa maendeleo na umaarufu ndio vinafanya yote haya yasiwezekane pale mtu 1 anataka awe zaidi ya wengine, anafanya wengine wapate mali kwa kuonja ladha zote za mateso