hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,373
Waliochukua nafasi ya kuliongoza Taifa ndio wenye Hilo jukumu ijapo kuwa na wao wamechagua kuuegemea ubinafsiNani azibadilishe sasa?
Waliochukua nafasi ya kuliongoza Taifa ndio wenye Hilo jukumu ijapo kuwa na wao wamechagua kuuegemea ubinafsiNani azibadilishe sasa?
They simply love to be broke(fukaz) always!Hawataki kujishughulisha na wapo kwenye nyumba za urithi.Wewe katika huo mtaa, kata, jimbo n.k ndio umeendelea;- kwako kuzuri, watoto wako wanasoma vizuri, mnakula vizuri, unatembelea usafiri mzuri, unasafiri sana nje n.k ila kwa majirani zako au jamii yako wana maendeleo duni, wakati mwingine ata kula yao ni ya shida; unahisi tatizo ni nini?
Ni ubinafsi wetu au hatutaki na wao wendelee wawe na maisha mazuri kama sisi?
Kwa mtazamo wako, unahisi tatizo ni nini?
Na nini kifanyike ili wao pia wawe na maisha mazuri, mazingira mazuri n.k?
Kwa hiyo hakuna mabadiliko?Waliochukua nafasi ya kuliongoza Taifa ndio wenye Hilo jukumu ijapo kuwa na wao wamechagua kuuegemea ubinafsi
Wanajituma sana, lakini hawaoni mabadilikoThey simply love to be broke(fukaz) always!Hawataki kujishughulisha na wapo kwenye nyumba za urithi.
Kwa hiyo hakuna namna ya kuwafanya na wao wawe na maisha mazuri?Hiyo ndo tunaita ubepari (Capitalism), the stronger survive the weaker are perished or left behind, struggle for resources eventually resulted to inequality in terms of access to resources and other amenities.
Yeah maana Kila mtu yupo aliyechini yake kiuchumiTatizo maisha hayana formula,kila mtu na njia zake,
Ila kama Mungu amekubless usisahau kusaidia wenye uhitaji,Dunia ni mapito tu.
Nini kifanyike ili tutokane na hili janga?Umasikini ni (man made) unasababishwa na binadamu.
Haya maisha ilibidi watu wawe stressful kuvumbua mambo mbalimbali yatakayoipaisha dunia
Na sio watu kuhangaika kutafuta Chakula End meet , n.k
Kwa kutumia rasimali Kama Ardhi , Bahari , maziwa , misitu kila mtu angeweza kula , kunywa na kubakisha ziada.
Ila kinachotokea kunakuwa limitations of resources , kwamba watu wachache wanamiliki vitu vingi na wengi wanakosa.
Mfano mdogo tazama MTU Kama Job Ndugai amekuwa Mbunge over 20 years amekuwa Speaker n.k Ila bado hachoki anataka na mwaka huu arudi bungeni .
Au mtazame Mwampossa pesa alzonanzo na umri wake means anaweza kula mpaka anakufa Ila bado anawakamua watu sadaka.
Njoo katika jamii zetu unakuta MTU ana kila kitu Ila bado anamtapeli MTU ambaye hana chochote .
Je hii utaisemaje au utahiitaje?.
Means accumulation and distribution haipo sawa .
Mambo Kama uvivu , ni nadharia ambazo zimetengenezwa kuhalalisha kuiweka dunia kukosa usawa.
Lakini mkuu, hao ni wachache sana ukilinganisha na wengi wanaopambana ila mambo hayabadiliki....ebu fikiria wangapi wanatumia nguvu kubwa sana kama pale kwa;They simply love to be broke(fukaz) always!Hawataki kujishughulisha na wapo kwenye nyumba za urithi.
Ni mfumo wa kinyonyaji hivyo haiwezekani labda uupindue mfumo mzima na ni impossible kufanya hivyo, inakitu tunaita intensive exploitation of Labour, mtu unafanya kazi ngumu asubuhi mpaka jioni kwenye viwanda mfano alafu unapata elfu Tano, wakati unaowazalishia bidhaa wanaingiza mabilioni ya fedhaKwa hiyo hakuna namna ya kuwafanya na wao wawe na maisha mazuri?
They simply love to be broke(fukaz) always!Hawataki kujishughulisha na wapo kwenye nyumba za urithi.
Watu ambao wanafanya Sana Kazi au huitwa hard worker hawa ndo wengi ni masikini na wanafanya Kazi hizi kuutafuta mlo wa siku End meet.They simply love to be broke(fukaz) always!Hawataki kujishughulisha na wapo kwenye nyumba za urithi.
Nilikuwa nawaza pia, kwanini viwanda vya pesa visitengeneze pesa nyingi kila mtu apewe, anunue, ale ashibe, anunue jembe na shoka, anunue shamba alime, anunue mbegu...
Mwishowe atakayefilisika akachukue tena pesa?
Mashine zifanye kazi badala ya binadamu, kila mtu ale chakula kizuri....
Huenda wivu wa maendeleo na umaarufu ndio vinafanya yote haya yasiwezekane pale mtu 1 anataka awe zaidi ya wengine, anafanya wengine wapate mali kwa kuonja ladha zote za mateso
Hao wanahitaji plan Bs.Kazi za ziada kuwaongezea vipato vyao.Changamoto yao walio wengi ni kukata tamaa na kuzidisha matumizi yasiyo ya lazima kwenye "kuoa wake wengi",kamari,kutoweka malengo/akiba hata kama ni kidogo,kuwa na familia kubwa,kutojibidiisha kuongeza elimu na kuyaona maisha ndiyo kama yalivyo tu kwa mazoea.Lakini mkuu, hao ni wachache sana ukilinganisha na wengi wanaopambana ila mambo hayabadiliki....ebu fikiria wangapi wanatumia nguvu kubwa sana kama pale kwa;
Na kadhalika.
- Mo
- EPZA mule ndani
- hawa walinzi(Suma, SGA etc)
- makuli wale wa kwa Bakhresa
- wale kima cha chini serikalini
- Askari polisi, magereza wa vyeo vya chini ya uafisa
Hawa wanapendaji kuwa broke? Na wajishughulishaje kuwa matajiri?
Mimi huwa nina kauli mbiu yangu inasemaNini kifanyike ili tutokane na hili janga?
Udalali 😅😅kama ipi sasa, nimejaribu kwingine wajumbe wamenikataa
Ili Nchi iendelee inahitaji Ardhi watu Siasa safi na Uongozi BoraKwa hiyo hakuna mabadiliko?
Kuna matajiri wangapi hapo mtaani kwako?Watu wanaishi maisha ,unawaita maskini.