Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
...Mkuu avatar yako utata. Dogo anaangali ile midoli ya kwenye maduka ya nguo au kitu ya ukweli??? Any way aina ya maisha ya siku hizi inawafanya watu wao wenyewe kuamua kuwa na watoto 2 au 3. Huduma za jamii, gharama za maisha ziko juu, kutokuwa na uhakika wa kipato, na kama alivyosema member mmoja wakati nao. Siku hizi ukiwa na watoto wengi unaonekana umepitwa na wakati.:moony:Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
Maty,
Mengine umesema kweli ila hapo kwenye red umekosea. Chance ya mtoto kuishi hadi kufikai miaka 5 ni kubwa zaidi leo kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Pia uhakika wa chakula bora (siyo chakula tu) ni mkubwa leo kuliko huko nyuma.
Kwenye blue... hayo ni matatizo ya mimba za ukubwani. Mwanamke aliumbwa kuanza uzazi baada ya kuvunja ungo (around 15 years). Sasa wengine wanaanza kuzaa baada ya kufikisha miaka 30. Hiki ni kipindi hatari sana kwa mambo ya uzazi. Maelezo yako mengi ila medically siyo salama kuzaa inapofikia umri wa kuanzia 35. Hata nchi za Magharibi wanalo hilo tatizo.
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
Wapenzi huoana huku mtu kishatoa mimba zaidi ya tano, hivo wakati unahesabummoja, yeye anakuwa anajua huyu wa tano.
Pia, hii midawa wanayotumia inawasumbua, miili imekaa ovyoovyo hata haina nguvu, hivo ni hatari kuzidi hapo.
Wapenzi huoana huku mtu kishatoa mimba zaidi ya tano, hivo wakati unahesabummoja, yeye anakuwa anajua huyu wa tano.
Pia, hii midawa wanayotumia inawasumbua, miili imekaa ovyoovyo hata haina nguvu, hivo ni hatari kuzidi hapo.
wanandoa wengi wa hapa tz wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
Halafu hii avatar yako kama ya ukweli vile ..........:smile::smile-big: :focus: hamna vya bure tena kama zamani, shule hela, hospitali hela, kazi hazipatikani na hata kama unaamua kuwa mkulima mvua ndo ivo tena zimepote, sijui ndo mwisho unakaribia? :bowl:We una wangapi Mtu wa Pwani?
wanachadema zaeni zaidi tushinde uchaguzi one day?????
TATIZO HUWEZO WAO KITANDANI NI MDOGO HILO ULIJUE KWANZA...PILI VYAKULA VYENU MNAKULA VYA MAKOPO MKITOA MBEGU BASI NYEPESIIIII WE UNADHANI KITAUMBIKA KIUMBE HAPO....KILA SIKU UPO KWENYE KITI MOTO NA BIA KITAMBI HICHO UNAPUMULA JUU JUU UKIGUSISHA TU MWICHI KWENYE KINU USHATAPIAKA UNATEGEMEA ZITAENDA SEHEMU HUSIKA ZAIDI KURUDI NJE .... HALAFU OHH UZAZI WA MPANGO hakuna lolote hamwezi kuzaaaWanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
abortion zimezidi nenda pale marie stopes mwenge utakut msululj wa kina dada, mama, wakusoma wapo pale ukiona utadhani clinic kumbe wote wamekuja kusafishwa(abortion) 2004 nilishuhudi wanafunzi wa form three wameletana pale boyfriend na gf wake kaja kutoa mimba. sasa huyo akifikia umri wa kuzaa kutakuwa na kitu kweli hapo? mke wa mtu kaja toka uzuri tandale kapigwa mimba na jamaa la nje mmewe kasafiri mwanamke kasindikizwa na shosti yake kaja kutoa mimba. siku hiyo kulikuwa na wanawake takriban 25 mpaka 30 wanatoa mimba mungu tuepushe na dhahma jamaa yangu alikuwa na demu pale mlimani, alimchomoa km nne hivi mpaka demu alipomaliza chuo. na hakuoa sasa km kun Jamaa alienda oa huko nadhani atatafuta mtoto mpaka ashangae
TATIZO HUWEZO WAO KITANDANI NI MDOGO HILO ULIJUE KWANZA...PILI VYAKULA VYENU MNAKULA VYA MAKOPO MKITOA MBEGU BASI NYEPESIIIII WE UNADHANI KITAUMBIKA KIUMBE HAPO....KILA SIKU UPO KWENYE KITI MOTO NA BIA KITAMBI HICHO UNAPUMULA JUU JUU UKIGUSISHA TU MWICHI KWENYE KINU USHATAPIAKA UNATEGEMEA ZITAENDA SEHEMU HUSIKA ZAIDI KURUDI NJE .... HALAFU OHH UZAZI WA MPANGO hakuna lolote hamwezi kuzaaa
mwingine jamaa alienda kwa obama kusoma akamwachia jamaa yake amchungie mchumba wake,tehe jamaa akabinafsisha ngoma kwa miaka mitatu walizichomoa mimba nne jamaa akarudi within two yrs akaoa bila kujua rafiki yake alitafuna na kutema. ndoa ina five yrs sasa no kid! demu ana conceive ikifika miezi miwili mitatu kitu kinachoropoka. hizo ngo gharama za usista duu