Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,714
Kwanini umnyime wakati UMEPEWA BURE YAKUPASA KUTOA BUREEEEEEE!!!!!!!
Aaaaah babu....vya bure gharama,akitaka bure lazima agharamike kwa namna nyingine..
Kwanini umnyime wakati UMEPEWA BURE YAKUPASA KUTOA BUREEEEEEE!!!!!!!
Kwanini umnyime wakati UMEPEWA BURE YAKUPASA KUTOA BUREEEEEEE!!!!!!!
king'asti inapaswa wajirekebishe y uweke bifu wakati umeambiwa ukweli jamani
Huyo mvula hajafunzwa na mamaye , we ngoja tu ulimwengu utamshikisha adabu
Kwanini umnyime wakati UMEPEWA BURE YAKUPASA KUTOA BUREEEEEEE!!!!!!!
Aaa usijali prianka, kumbuka kitu na mke...na my wife is so proud of me...hapo nadhani umeisha jua nakusudia nini :biggrin1:wapenda kupewa pewa eeeeeeeeee vinamadhara yake hivyo shauri lako fazaa