Jamani wana Jamii Forum Nyambari Nyangwine amepotelea wapi? Maana ni siku nyingi hasikiki au yupo kusaini mikataba ya Ukimya....... Au amefichama baada ya kuona vita ni kali??????
parking hamna, nyumba ya msomi !Kamfuate pale kwake mbezi-jogoo amejenga gorofa tatu nyumba ya kuishi utadhani business complex.
parking hamna, nyumba ya msomi !