research ilifanywa university of pretoria centre for aids reasearch n africa....na wakagundua kuwa maambukizi mengi hutokea kwa wanandoa...sasa inamaanisha kuwa wanadoa wanapotoka nje hawatumii kinga.....

Nawewe unatembea na mume wa mtu wa nini? Nachukia sana waume za watu hata huwa si wasalimii masingle ni wengi bwana aaaagh

tunawashauri mahawara nao wawe wanatembea na condom ktk pochi zao, na hawa wanaume wasioridhika na wake zao wawe wanatembea na condom ktk magari yao au briefcase zao.
hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga?
naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga lakini wakuta ahh anajidabulia bila kinga.
na wanawake unajua huyu mme wa mtu kwa niini usimlazimishe atumie kinga?