kwa nini hivi lakini

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
33,993
61,051
hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga?

naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga lakini wakuta ahh anajidabulia bila kinga.
na wanawake unajua huyu mme wa mtu kwa niini usimlazimishe atumie kinga?

Swali kwa sisi waswahili ni kwa nini jukumu la kutumia kinga ni la mwanaume peke yake?

Je, wanawake walioolewa au walio na maboyfriend wao wakimegwa hutumia kinga?

Nawewe unatembea na mume wa mtu wa nini? Nachukia sana waume za watu hata huwa si wasalimii masingle ni wengi bwana aaaagh

Mume mwenyewe tu usipomwelewa unamkingisha ije kuwa hawara tu, kinga ni muhimu sana maradhi yamekuwa mengi sana mkuu

sasa wewe bebii.....unalosema ni kwa wewe hapa tupo katika kulinda maisha ya wale ambao wanachoropoka nje au wanapenda waume wa watu.

research ilifanywa university of pretoria centre for aids reasearch n africa....na wakagundua kuwa maambukizi mengi hutokea kwa wanandoa...sasa inamaanisha kuwa wanadoa wanapotoka nje hawatumii kinga.....

kwanini isiwe wanawake wanaotoka nje ya ndoa ndio wanaleta ukimwi kwenye ndoa? maana utafiti haujasema ni wanaume pekee.

tunawashauri mahawara nao wawe wanatembea na condom ktk pochi zao, na hawa wanaume wasioridhika na wake zao wawe wanatembea na condom ktk magari yao au briefcase zao.

Ukigundulika na mwenzi wako, moto wake sijui utauzimaje?

hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga?

naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga lakini wakuta ahh anajidabulia bila kinga.
na wanawake unajua huyu mme wa mtu kwa niini usimlazimishe atumie kinga?

Nimeisoma baiolojia yako nimegundua mambo ma 3..

1.. wewe ndo mwanamume mwenye tabia hiyo.
2..wewe ni mwanamke ambaye umawai iba mume wa mtu.. akakushawishi.. na akakumega bila kinga..
3... unaota. huna uhakika na ulisemalo

hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga?

naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga lakini wakuta ahh anajidabulia bila kinga.

na wanawake unajua huyu mme wa mtu kwa niini usimlazimishe atumie kinga?

Wadada si wanakutegeshea ili akipata mimba usipate mwanya wakumwacha

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom