Badala ya kuconcetraite Kwenye vazi wata hamia Kwenye viungo husikaNdio wanaopitisha vazi ama?
Mh!! Sijajua ni nini zaidi ila nimehisi tu..Unahisi nn kimefichwa mkuu? Anyway mwenye pic yake angejibu vzr
We mzee kwani huwa unavaa kichicken mguuni?Hii picha ingekuwa na kikukuu mguuni, kuna mtu angeamini huyo ni Kasinde.
We mzee kwani huwa unavaa kichicken mguuni?
Kitajeeeer
Hee hilo somo umeliekewa tofauti chief. Hapa ni Swala la vazi la taifa. Habari kula na kuliwa inakujaje! ! Mwe
Hahaaa duu mifano yko nimelewa. Eti kufutia shahawaMkuu, usichukulie kila kitu seriously....hapa nilikuwa najaribu kukuchekesha tu kama ulivyotufanyia wewe. Khanga ni casual dress mbayo kina Mama wanavaa wakienda sokoni, msibani, kuzurura kitaa, na pia ufanya kama kitambaa cha kufutia shahawa baada ya gegedo wakiwa mchepukoni. Leo hii khanga ije kuwa vazi la taifa kweli? Wacha kutuchekesha bwana.
Samahani naomba nieleweshe,maana kunatafsiri hasi sana ya kihenSikivuagi labda nikiwa naenda kupiga xray na hapo mpida xray ndo atanivua na kunivesha akishamaliza kupiga xray.