Kwa nini FFU wanapiga watu? Mgambo wako wapi?

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
DSC_5047.JPG

FFU na mabomu ya kutoa machozi....wanawapiga raia wenye shida...kwenye mafuriko.

Hiii ianikumbusha KATRINA wanajeshi walipoa chukua bunduki wakati watu wana zama maji

Kwa nini wasiwekwe mgambo kutuliza hali badala ya hawa FFU?
 
halafu hoja zingine jamani mngejitahidi kuwa specific, umeweka picha lakini sijaona polisi anayempiga raia. wakati mwingine jaribu kutoa maelezo ya kutosha.
 
DSC_5047.JPG

FFU na mabomu ya kutoa machozi....wanawapiga raia wenye shida...kwenye mafuriko.

Hiii ianikumbusha KATRINA wanajeshi walipoa chukua bunduki wakati watu wana zama maji

Kwa nini wasiwekwe mgambo kutuliza hali badala ya hawa FFU?

wako sokoni kariakoo,mtaa wa kongo,tandamti,utawakuta huko
 
Back
Top Bottom