Uji wa ulezi na fanta orangeBaada ya kufanya uchunguzi wangu wa kimtaa, nimegundua kwamba watu wanaopata pombe hawataki wali hata kidogo na asubuhi chai haishuki kwa raha. Chakula bora baada na wakati wa alcohol ni ndizi, viazi mbatata, michemsho lakini siyo vimeungwa, juisi ya nyanya yenye chumvi na chakula chochote kisichokuwa na mafuta ila nyama ya nguruwe ya kuchoma, mbuzi na ng'ombe inakaribishwa. Wengine je?
Mhu si utapata kichefu chefu tena???? Bora ukwaju na senene.Uji wa ulezi na fanta orange