ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Points of correction:
1;CCM haikuruhusu mfumo wa vyama vingi kwa matakwa yake.mfumo huu ni matokeo ya presha za wenye Dunia kama World bank na IMF.
2;Anguko la USSR pialilikuwa sababu tosha ya CCM kukubali kwa shingo upande mfumo huu.;
Tumeshazoea walalamikaji ambao jambo likiwa zuri basi wanadhani limetokea kwa bahati mbaya, lakini kikitokea kitu kibaya basi wako mstari wa mbele kulaumu.
Wewe ni mmoja wao, unadhani mfumo wa vyama vingi umetokea bila CCM kupenda, lakini umasikini wako umesababishwa na CCM.
Watu kama nyinyi kwenye jamii hamuepukiki.