Kwanini CAG, TRA na TAKUKURU Wasimchunguze Makonda?

Mtoto wa Baba yule kashabebwa na mbeleko siku nyingi sana na Baba yake.

Yaliyo nyuma ya pazia ni mengi sana maana hata hao wote wenye mamlaka ya kumchunguza wamepigwa ganzi

Ni swala la muda tu, hata huyo baba ipo siku hiyo mbeleko itamshinda kubeba!
 
kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.

Mwache anogewe na kudhani ana "kinga" ya kudumu! Kwa misifa yake ipo siku atagusa pasipoguswa na huo moto wake utamchoma mpaka mtoa kinga! Ni swala la muda tuuuuu!
 
kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
Catching the Tiger by the tail (?).
 
kama mtu anakutuma kufanya umafia kwa nini akunyime hela..
una vyeti feki unaambiwa piga kazi..
unavamia unaambiwa upo kazini..
unateka unaambiwa mchapa kazi..
bashite alipaswa kuwa gerezani..
si kupewa nafasi ya kujitoa kimasomaso kwa kutoa ofa za hapa na pale.
hahaha hii ya kutoa ofa ni kuwahadaa wananchi kuwa ni mchapakaz indeed kumbe ni dalali na anakula 10pasee
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.

Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.

Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.

Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.

Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?

CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.

CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.

TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?

Jiulize kesi yake kwenye Tume ya watumishi iliishia wapi??Pale aliyeteka ameteka na report
 
Ni mwana wa Mfalme hachunguzwi!
 
Sasa si bola yeye hata akipewa iyo misaada anasaidia huduma za jamiii kiwe kidogo au kikubwa lakini mchango wakr kwa jamii unaonekana. Na hao waliochukua mabillion ya serikali na hatuoni hata pua zao kwenye Orphanage House wachunguzwe na nani....Makinikaa Kijana
 
TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?

Mkuu unajikanganya bila hata kuona aibu

Kwa hiyo hutaki makampuni makubwa yajenge nchi yao?

Tatizo huwa hamfuatilii habari za Makonda mnaishia kubeza mpaka pale mnapoona kuna utamu utamu unajitokeza mnajaribu kumwaga shubiri.

Makonda hapokei pesa ya mtu,anachofanya yeye ni kutengeneza gharama,na kuhamasisha wabia wa maendeleo

Ndio maana unaona anapokea vitanda na magodoro,majengo ya wodi za wazazi,hao wafadhili wanamaliza wenyewe wanamkabidhi yeye,Takukuru wanaingiaje hapo?
 
Fact na ndo hali halisi ilivyoo...unajua vijana wa kitanzania tumekalia kumsema mtu kwa mabaya tuu hata akitenda yaliyo mema bado awe mbaya...na hii inatokana na kila negative thngs za Freedom of speech mwisho watu wanaongea pumba 2 yan mtu achunguzwe kwa kusaidia jamii is that true inabd achunguzwe akiyeandka hii article
 
Anafadhili kazi za jeshi la polisi na anawatumia polisi anavyotaka mwenyewe......huyu mtu anamiliki silaha nyingi sana ...kwa mfano tukio la uvamizi pale Clouds tv alikuwa na "vijana"wenyewe silaha nzito, nzito lakini mheshimiwa akaona ni sawa tu anakuja kusimama jukwaani kumwuombea msamaha....

ni maajabu ya dunia! watu wanatekwa,wanavamiwa na silaha za moto,wengine wapo mahututi serikali iko kimya ....maana imepandikiza watu wake kama huyu jamaa kuwanyamazisha au hata kuwaua "wasiotakiwa"na mfumo huu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda (Daudi Bashite?) ni miongoni mwa wakuu wa mikoa maarufu sana kwenye serikali hii inayoongozwa na Rais John Magufuli. Pamoja na mambo mengine ni mtu anayaonekana ana dhamira ya kuibadili Dar es salaam kuwa mji wenye maendeleo ya vitu mbali mbali.

Makonda anatoa hela na ahadi kwenye miradi mbali mbali wakati mwingine ahadi zake zinafikia hadi mabilioni ya shilingi. Inasemwa kwamba alipoingia tu Ofisini kama Mkuu wa Mkoa alibadili kabisa muonekano wa ofisi ile tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Mzee Meck sadiq.

Kuleta maendeleo si jambo baya lakini kama kiongozi wa umma ni lazima hela za kuleta hayo maendeleo vyanzo vyake vifahamike na viwe safi na kusiwe na muingiliano wa kimaslahi kati ya hao watoa hela na nafasi uliyo nayo kisiasa.

Ahadi kama kusaidia kujenga jengo la BAKWATA ni ahadi kubwa sana na kama Makonda ataitekeleza basi inabidi aeleze hela za kutekeleza ahadi hiyo kaitoa wapi. Juzi tumeambiwa yeye mwenyewe kwa "juhudi zake" amefanikisha kukarabati magari kadhaa ya Polisi yaliyokuwa yameshindikana kukarabatiwa kwa kipindi kirefu sana.

Inabidi TRA wachunguze kama hao "wanaomsadia" Makonda wanalipa kodi stahiki kwa biashara zao wanazofanya ama wanatumia "misaada" wanayotoa kwa Makonda kama kichaka chao cha kujificha wasilipe kodi stahiki wanayotakiwa kulipa?

CAG naye achunguze kama kweli fedha za umma ndizo zinatumika kwenye miradi ambayo makonda anaiwezesha kutekelezwa. Hii ni muhimu kwani kwa mujibu wa sheria zetu ofisi ya Mkuu wa mkoa hazina fungu la maendeleo bali Halmashauri zilizo katika mkoa husika.

CAG aangalie kama maafisa maduhuri na masuhuri kwenye Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam na Ofisi ya Mkoa ni wao wanaoidhinsha matumizi ya fedha hizo ama kazi yao ni kuandika tu taarifa baada ya fedha kutumika.

TAKUKURU nao wachunguze kama misaada inayotolewa kwa Makonda haina dalili ya kirushwa. Maana fedha zinazotolewa kibinafsi zinakujaje kufanya kazi za umma kama huyu mtoaji hana dalili za kutoa rushwa. Ni kwa nini hao watoa "misaada" wasiitoe kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam badala yake wanaikabidhi kwa Makonda binafsi na si kama Mkuu wa Mkoa?
Hivi wewe unamuona CAG hana akili?Unafukuri mkuu wa TAKUKURU hajui kusoma alama za nyakati?Katika kila utawala kuna wasiogusika (UNTOUCHABLE).
Mambo mengine tuyaache yapite tu!!
 
Hizo Pesa atakuwa kapewa rushwa na wapiga deal wakwepa kodi. Hana uwezo wa kuwa na fedha hizo anazotoa misaada hovyo hovyo. Kama Si hivyo basi atakuwa amepewa Hazina ili kumfanyia publicity!!! Na hii inawezekana kabisa kwani Ngosha kwa Bashite hapindui!!! Kila anachokisema Bashite lazima Ngosha akubali!! Atakuwa alimpeleka kwa Mganga si bure hili Limbwata!!!
 
Ifike wakati tuangalie tunalala vp tunakula vp na tunaamka vp, hayo mengine tuwaachie viongoz
 
Mkuu unajikanganya bila hata kuona aibu
Kwa hiyo hutaki makampuni makubwa yajenge nchi yao?
Tatizo huwa hamfuatilii habari za Makonda mnaishia kubeza mpaka pale mnapoona kuna utamu utamu unajitokeza mnajaribu kumwaga shubiri.
Makonda hapokei pesa ya mtu,anachofanya yeye ni kutengeneza gharama,na kuhamasisha wabia wa maendeleo
Ndio maana unaona anapokea vitanda na magodoro,majengo ya wodi za wazazi,hao wafadhili wanamaliza wenyewe wanamkabidhi yeye,Takukuru wanaingiaje hapo?
Kuna watu wanafikiri Makonda anatoa hela mfukoni mwake...makondo ni mpiga debe tu.
 
Wewe jamaa una nia ovu kwa sisi watumishi hususani viongozi wa hizo taasisi ulizotaja!

Yaani unataka tumchunguze right hand man wa Mkulu wa Kaya!

Hivi huoni unatuambia tuchunguze watu ambao tutakuta source ya hayo yote ni kule kule?!

Aka maliyamungu Iddy Amin right hand man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom