i love u[emoji2] [emoji7] [emoji8]huo ni wivu tena mpk bikra mnataka
anakutafuta jana kaniulizia nikamwambia mmu nilipita tu emmy nilionana nae juzi mfate pm akaniambia sawaHalafu sijamuona tangu pasaka ianze. Hivi alikuja au aliamua kubaki huko shamba?
asante mkuu wanaume mnazidi kupoteai love u[emoji2] [emoji7] [emoji8]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
asee huo ni utekaji ambao hata jamii haimjali alo tekwa.
niteke kwa namna ingne bas si hyo
hahahaaShukuru bana umetekwa vizuri,ona huyu utekaji hatar kabisaView attachment 497386
Ahaa! Basi sawa mumy. Nitamtafuta.anakutafuta jana kaniulizia nikamwambia mmu nilipita tu emmy nilionana nae juzi mfate pm akaniambia sawa
aliniambia alikua malawi karudi jana na mazao alishindwa uza sbbu ya soko sio zuri kwahiyo mjini bado
I salute you.mkuu hata wanaume wana bikira ila si kama wanawake,angalia watoto wa kiume wanapokojoa mkojo lazima utengeneze curve, siyo kwamba wanajifanyisha hapana hiyo ni bikira,yaani misuli ya penis inakuwa haijalegea.wewe ambae taayari umeshaonja K ukikojoa mkojo unatoka straight no curve.
Habarini za pasaka ndugu zangu!
Naamini mu wazima.
Naomba kujua ni kwa nini Bikra aliwekewa mwanamke tu?
Namaanisha kwamba mwanaume anaweza kulala na wanawake hata 100 lakini akasema ana bikra lakini mwanamke hata akilala na mwanaume mmoja tu atagundulika kwamba tayari ni more than used.
Je, Mungu aliwapenda sana wanawake na kuamua kuwalinda?
Naomba msaada wa kulijua hilo.
Nimekusamehe
Hujui ukisemacho rafiki