Kwa nini bado TRA kupitia Task Force wanafunga akaunti za wateja?

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Miaka ya hivi karibuni tumeona Mamlaka ya Mapato (TRA) kupitia Task Force ikifunga ACC za wateja mbali mbali

Hivi karibuni tulipata habari njema kupitia Mh Rais na Mh Waziri Mkuu kwamba Task Force iache kufunga ACC za wateja bila Sababu za msingi

Naandika waraka huu Kwako MH Rais au MH Waziri Mkuu

Task Force bado zimekuwa mwiba Kwa wafanya biashara na comp mbalimbali

Majuzi mteja wangu mmoja Acc yake imefungwa na Task force wa TRA

Hii comp ina miaka 58 kwenye Shughuli za Ujenzi Nchini na wamekuwa wakilipa Kodi siku zote

Hii comp imeajili maelfu watanzania na kulipa Kodi Kwa Ustawi wa Taifa letu

Hii comp ina Tender migodini ya 1.5 Us dollar kwakuwa Sasa ACC zao zimegfungwa na TRA basi Shughuli mzima za uendeshaji za comp zimesimama

Kama Shughuli zimesimama basi muda wowote Tender zao sitafutwa huko migodini

Kama tender zikiondolewa basi Serikali inakosa mapato lakini na vijana wengi watapoteza ajira

Kama kuna changamoto ndogo ndogo ni vema TRA kukaa mezani na wafanya biashara kumaliza lakini sio kufunga ACC za wateja

Rai yangu kwako MH Rais na Mh Waziri Mkuu,

Niombe Sana kufuatilia swala hili na mengineyo ili TRA waache kufunga ACC za wafanyabiashara kwani sio Afya na kunazorotesha Uchumi wa Taifa hili

TRA inatakiwa kuwa chachu Kwa Private Sector biashara ziende Kwa kasi na Serikali kupata mapato

Kinyume chake tusitafute mchawi

Alex
+255 655 308494.

Email: afredrick59@gmail.com
 
Umeongea kwa uchungu mkuu!Cha msingi na kwa haraka njoo Dodoma wizara ya fedha na document zako kamili wasilisha malalamiko yako kwa usahihi,siko huko ni ushauri tuu.Ahsante.
 
Miaka ya hivi karibuni tumeona Mamlaka ya Mapato (TRA) kupitia Task Force ikifunga ACC za wateja mbali mbali

Hivi karibuni tulipata habari njema kupitia Mh Rais na Mh Waziri Mkuu kwamba Task Force iache kufunga ACC za wateja bila Sababu za msingi

Naandika waraka huu Kwako MH Rais au MH Waziri Mkuu

Task Force bado zimekuwa mwiba Kwa wafanya biashara na comp mbalimbali

Majuzi mteja wangu mmoja Acc yake imefungwa na Task force wa TRA

Hii comp ina miaka 58 kwenye Shughuli za Ujenzi Nchini na wamekuwa wakilipa Kodi siku zote

Hii comp imeajili maelfu watanzania na kulipa Kodi Kwa Ustawi wa Taifa letu

Hii comp ina Tender migodini ya 1.5 Us dollar kwakuwa Sasa ACC zao zimegfungwa na TRA basi Shughuli mzima za uendeshaji za comp zimesimama

Kama Shughuli zimesimama basi muda wowote Tender zao sitafutwa huko migodini

Kama tender zikiondolewa basi Serikali inakosa mapato lakini na vijana wengi watapoteza ajira

Kama kuna changamoto ndogo ndogo ni vema TRA kukaa mezani na wafanya biashara kumaliza lakini sio kufunga ACC za wateja

Rai yangu kwako MH Rais na Mh Waziri Mkuu,

Niombe Sana kufuatilia swala hili na mengineyo ili TRA waache kufunga ACC za wafanyabiashara kwani sio Afya na kunazorotesha Uchumi wa Taifa hili

TRA inatakiwa kuwa chachu Kwa Private Sector biashara ziende Kwa kasi na Serikali kupata mapato

Kinyume chake tusitafute mchawi

Alex
+255 655 308494.

Email: afredrick59@gmail.com
Mkuu TRA si mazuzu kaeni chini kuyamaliza na mlipe taratibu.
 
Hadi wanafikia hatua hyo usifikiri wamekurupuka. Kikubwa nenda mkakae mezani myamalize vizuri.
 
Back
Top Bottom