Kwa nini babu zetu waliishi maisha marefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini babu zetu waliishi maisha marefu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mabel, Jun 17, 2011.

 1. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sababu kuu za babu zetu kuishi maisha marefu ni pamoja na hizi hapa
  1. Ndoa za mitaala (wake zaidi ya mmoja)
  Babu zetu walioa wake wengi ili kupunguza msongo wa mawazo ambao hufupisha urefu wa maisha. Ukiwa na wake zaidi ya mmoja, mmoja atakuwa anahangaika ili akuvutie kwake na atapambana na mke mwenzie wewe unakula bata tu, lakini ukiwa na mke mmoja atambana na wewe direct.

  Wanawake wanachoka mapema kuliko wanaume hivyo kupelekea wakati mwingine unakuta mwanamke hana hamu tena ya kukutana na mme wake kimwili wakati mme bado damu inachemka, ukute hapo mmeshapata na wajukuu utakuta wife anachukua wajukuu zake analala nao ili usipate mda wa kumsumbua. Ili kuondokana na tatizo hili babu zetu walikuwa wanaona wake wengi (tena mke wa pili na kuendelea unakuta visichana vidogo) wapate mda wa kutunzwa hadi wanakufa. Mke mmoja anakuua.

  Hiyo moja, zingine endeleeni wadau....

  Weekend njema wakuu
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Hakuna aliesahihi zaidi ya Mungu!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  short times na clubing sexx hazikuwepo enzi hizo bhana!
   
 4. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hawakuishi maisha marefu ila walizeeka haraka.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Vyakula vya asili viliwasaidia pamoja na dawa za asili
   
Loading...