Kwa nini baadhi ya wanaume huanguka kiuchumi baada ya kuoa?

Wanaume wengi huangalia mwanamke ambayee akitembea naye,njiani wanaendana ndoa ni zaidi ya kuendana. Kumbuka kwenye maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi hususani za familia zenu wenyewe mlikotoka, pili familia mliyoiunganisha .

Kuna changamoto za kipato za kupanda na kushukaa, jiulizee huyo mwanamke uliye naye leo umepata atakuwa na ushauri gani au atakuwa vipi katika kukiendeleza hicho kilichozidi, au baada ya kipato kushuka atakuwa vipi kushirikana na wewe kurudi katika hali ya kila siku.

Kaka zetu muwe makini kwenye kuchagua msiangalie sura na makalio ndoa ni zaidi ya sura na makalio.
 
Mfano utakuja mpole, mtii, mwenye heshima, sio mpenda pesa au Mali, huna makuu, unapenda ndugu zangu nk
Kuna siku nitakutibua kimataifa makusudi mbona utalipuka ghafla na kufichua makucha na kichaa chako chote nakujikutaa upo uchi kabsa kilakitu nishakujua ulivyo
Au
Kama nahs umenipendea Mali kuna siku nitakuigizia movie ya kihindi
Kwamba hizo Mali kutoweka ghafla mbona jasho litakutoka na kuonyesha tu wewe ni mpigaji!
Hapo upo Miss chagga????
Muombe Mungu ndugu yangu swala la ndoa gumu sana.
 
Muombe Mungu ndugu yangu swala la ndoa gumu sana.
Ni kweli kumuomba mungu mhimu!
Ila kabla ya maombi wanaume nao wasijilegeze na kusinzia, ukipofu unawamaliza, maana nowadays ni kaz kutofautisha kahaba na wife material!!
Kwan hata kahaba tu anajifanya wife material!
 
Back
Top Bottom