Kwa nini baadhi ya wanaume huanguka kiuchumi baada ya kuoa?

Hizo ndio nuksi zenyewe sasa. Wanawake type yako mna mikosi.
Sio mkosi.... mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu. Maana yake hela zako ndo zinatakiwa kutunza familia sio zangu. Sasa huoni nikijua michongo yako ya pesa ntataka kutumia zaidi? Ili kuepusha hayo we nitimizie wajibu vizuri uone kama utafilisika
 
Wanasemaga mwanaume mwenye maendeleo nyuma yake kuna mwanamke... Na sio kila mwanamke anaweza kumfanya mwanaume awe na maendeleo...

Wakati wa kuoa wanaume wengi hukosea hapo kwenye kumpata wa kukufanya uzidi kupanda kiuchumi kwa sababu wengi wenu huchagua kwa kuangalia muonekano wa nje....

Waangalie wanaume walooa na wako vyema kiuchumi nyuma yao kuna wanawake wa aina ganii, ndo Utaelewa vyema
Nimekupendajee?

Unakuta hao aliowafanyia utafiti ni wale waliosema"Mwanamke shape tabia tutafundishana" wakasahau kuwa hao wa shape ndo money mongers waliokubuhu. Kazi yao ni kuwaza kuwa wiki hii bata tukalie wapi. Wanachowaza ni kutumia tu bila kujali imeingia ngapi. Na kwa sababu mwanaume kapozwa kwa uzuri yeye anatoa tu,anatoa tu mwisho wa siku uchumi unaanza kuyumba anabaki kapuku.

Wengi waliosimama imara kiuchumi hata baada ya kuoa watazame wake zao. Ni wa kawaida sana.
 
Sio mkosi.... mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu. Maana yake hela zako ndo zinatakiwa kutunza familia sio zangu. Sasa huoni nikijua michongo yako ya pesa ntataka kutumia zaidi? Ili kuepusha hayo we nitimizie wajibu vizuri uone kama utafilisika

Mama bora ni yule anaechangia pato la familia.
 
Nimekupendajee?

Unakuta hao aliowafanyia utafiti ni wale waliosema"Mwanamke shape tabia tutafundishana" wakasahau kuwa hao wa shape ndo money mongers waliokubuhu. Kazi yao ni kuwaza kuwa wiki hii bata tukalie wapi. Wanachowaza ni kutumia tu bila kujali imeingia ngapi. Na kwa sababu mwanaume kapozwa kwa uzuri yeye anatoa tu,anatoa tu mwisho wa siku uchumi unaanza kuyumba anabaki kapuku.

Wengi waliosimama imara kiuchumi hata baada ya kuoa watazame wake zao. Ni wa kawaida sana.
Kabisaa mamy wangu....
Wanaume wenye akili tu ndo hujua wanataka wanawake wa aina ganii!!!!
 
KWA MTAZAMO WANGU NI PALE UNAPOPATA MWEZI ASIE SAHIHI NA PIA UJUE KILA MWANAMKE ANA BAHATI AU MKOSI WAKE
WAKATI MWINGINE WANAENDEKEZA PAPUCHI KULIKO UCHUMI WA FAMILIA
[HASHTAG]#Amen[/HASHTAG] mwanaume ukijua Hili Maisha yako yatakua na Mafanikio sana...Na leo niwapeni siri moja kabla hujaoa mwanamke jaribu kusex nae halafu jisikilizie mambo yako yanendaje...Mwingine ukisex nae utaonaa Mambo yako ya Pesa yanaenda vizuriiutapendana na watu na njia za mafanikio zitafunguka..kwahiyo ukimpata wa hivi oaa.....ila kuna mwingine ukisex nae ata mia hutapata....njia za Mafanikio zitajifunga na utakuwa na mKosi mpaka ubadili Mwanamke...! Ewe mwanaume Mwenzangu Jua kufanikiwa kwako kunategemeana na Mwanamke ulienae!
MARK MY WORDS.
 
Mama bora ni yule anaechangia pato la familia.
Mkuu unapingana na maandiko sasa. Ukioa mwanamke unamtunza kama mwanao kimbia. Mke bora ni yule anaehakikisha mume wake anaendelea kupata zaidi ili atumie zaidi. Sasa kwenye kuhakikisha kupata zaidi ndo unatakiwa uangalie anakusaidiaje? Labda anabana matumizi ili hela nyingine akatumie kwenye matumizi mengine ya msingi, au anakusaidia kwenye business zako hata kiushauri. Kwa ufupi wanawake tunapenda pesa, sema mwanamke mwenye akili atapenda pesa na atakusaidia wewe upate zaidi na sio kukufilisi.
 
Mwanamke ananisaidia mimi au familia?
 
[HASHTAG]#Amen[/HASHTAG] mwanaume ukijua Hili Maisha yako yatakua na Mafanikio sana...Na leo niwapeni siri moja kabla hujaoa mwanamke jaribu kusex nae halafu jisikilizie mambo yako yanendaje...Mwingine ukisex nae utaonaa Mambo yako ya Pesa yanaenda vizuriiutapendana na watu na njia za mafanikio zitafunguka..kwahiyo ukimpata wa hivi oaa.....ila kuna mwingine ukisex nae ata mia hutapata....njia za Mafanikio zitajifunga na utakuwa na mKosi mpaka ubadili Mwanamke...! Ewe mwanaume Mwenzangu Jua kufanikiwa kwako kunategemeana na Mwanamke ulienae!
MARK MY WORDS.
Mkuu ninae mmoja hapa wacha nisex hapa
 
We kaka kuna watu wanajua kuigiza jamani. Utajua umepata kumbe umepatikana...
Kinacho waponza wanaume ni upendo!
Mwanaume kaumbwa na upendo ( ukipofu)
Ndo maana hata Malaya au kahaba tu akimuigizia mwanaume, basi mwanaume anampa upendo huyo mwanamke na kumwamn, mwishowe anatafunwa Mali zote ukipofu kuja kummtoka kafiliska
Mm ukipofu huo sina mzigua90!!! Nipo macho
 
Back
Top Bottom