carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,757
umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??
waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...
yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM..
WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi baada ya kupata mshiko???/