KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,590
- 8,632
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.