Kwa ninavyomfahamu Maalim Seif, Hamad kaa chonjo!

Kwa ninavyomfahamu Maalim Seif, Hamad kaa chonjo!

Hamad na Hamad Kaeni chini mmalize tofauti zenu kwa manufaa ya Watanzania hususani wanachama wenu.
 
Tatizo hapa wanataka kujifanya wamisiri kutofata katiba waandamane!!nona ndiyo nia!!haya ila kumbuka Malim seif siyo tu katibu wa CUF bali Ni makamo wa kwanza wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi zanzibar hivyo mnachezea sharubu za Simba aliye pumzika kivulini!!:A S 465::hatari:
 
na hapo ndipo sasa utaona watu wanachukulia sisa ni kula!!Rashid is perfect!!!!maalim aondoke kama baadhi ya wanachadema tunasema mbowe aondoke!!!
wewe gamba tu uwezi kuwa mwanachadema ungekuwa mwana cdm ungejua jinsi gani cdm wanaachiana nafasi mbalimbali unajua mbowe ni mwenyekiti wa ngapi pale cdm na waliomtangulia waliondokaje? yaani kifupi hakuna mwanacdm mwenye mawazo na fikra mgando kama zako wanajua viongozi wao wanavyopatikana
 
Hawa wawili wote ni wabinafsi, Maalim Seif alikubaliana na CCM baada ya kuona wamemuandalia maslahi yake, Nape alipolisema hilo hakuwa ndotoni ndio ukweli wenyewe, na huyo Rashi Hamad naye ni wale wale. Historia ya Maalim Seif inaonyesha ni kuwashughulikia kila anayemuona tishio kwake, huku akiwatumia Wanyamwezi kubeba mzigo wa CUF (uenyekiti) lakini madaraka yote anayo yeye.

Ukitaka kumfahamu vizuri Maalim Seif mulizeni Msabaha kilichomsibu katika ile senema ya kudai katekwa na CCM. Hata yale mauaji ya Pemba, yalianzishwa na CUF kwa kumua askari lakini picha ikageuzwa ionekane yalianzishwa na polisi.

Walijisahau kuwa kete yao ilikuwa kutengeza mazingira ya vurugu, wapambane na dola, sasa wamefunga ndoa na dola, hawana wa kutunishiana naye misuli, wameanza kukatana mapanga wenyewe, hao ndio CUF toka Pemba!!!
 
Hivi muda wa kuondoka mbowe madarakani umefika? Naomba nipatiwe jibu na ntogwisangu.

bado kidogo muda ukifika mbowe ataondoka lakini sio kama alivyoondoka makamba na rost,hata hivyo tuangalie uchaguzi 2012 uenyekiti kama jk atabaki maanake kuna fununu kwamba watamtoa uli kutenganisha hizo kofia 2
 
Sefu hajakosea kuita waandishi Pemba, ndio kwake ati! Sio arashidi kuleta vita ya wapemba huku Tg. Kama arashidi ana ubavu aende Pemba aone cha moto! Maana wavuvi wa Pweza hukutana Mwambani!
 
katibu mkuu wa ccm yusuF MAKAMBA ameng'oka,sasa ni zam ya seif,mbatia na mbowe.their time has ended.tunataka majina mapya na dam mpya.
 
Back
Top Bottom