Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Au kuimarika zaidi... itategemea wataushughulikia vipi mgogoro huuNaona CUF nayo inaelekea mwisho.
Au kuimarika zaidi... itategemea wataushughulikia vipi mgogoro huuNaona CUF nayo inaelekea mwisho.
Hivi muda wa kuondoka mbowe madarakani umefika? Naomba nipatiwe jibu na ntogwisangu.
Kinachoitesa CUF ni laana ya kuwasaliti wenzao waliokufa 2001.
Maalim kashika wadhifa wa katibu mkuu muda mrefu sana kwanini hataki mwingine aonyeshe kipaji chake ???????.
Huna tofauti na CHANGUDOA,leo kwa mwanaume huyu kesho kwa yule.Shame on you!
seif hawezi kuondoka na kumwita HR sasa zamu yako njoo uchukue, hata kama seif anashikilia nafasi ile kwa mda wote si amechaguliwa katika chaguzi za ndani na hakuna mtu aliejitokeza ku challenge nae ktk chaguzi za ndani. kama anahisi muda umefika alikua afate taratibu zinazohusika. kwa hivi anavyofanya lazima analengo jengine, na watu wa aina hii wamejaa ktk vyama vyetu vya upinzani. juzi TLP jana NCCR leo CUF kesho mwengine. kiongozi mzuri akiona chama chake hakina mwelelekeo wa demokrasia au kinavunja sheria zake wenyewe walizokubaliana basi hujiuzulu tu kuliko kuforce na mimi lazima nipate nafasi ya fulani
acha uchochezi wewe, cdm tunajua tunachotaka ni nini na 4ur information tunapewa na wala usitusemehe wewe wakala wa magambana hapo ndipo sasa utaona watu wanachukulia sisa ni kula!!rashid is perfect!!!!maalim aondoke kama baadhi ya wanachadema tunasema mbowe aondoke!!!
Kinachoitesa CUF ni laana ya kuwasaliti wenzao waliokufa 2001.
Kinachoitesa CUF ni laana ya kuwasaliti wenzao waliokufa 2001.
Mabadiliko yanatakiwa lakini sikuna taratibu??kwanini waendeshe harakati za kihuni??katiba ipo vikao vinafanyika piga kura mmtoe siyo kuendesha siasa za kihuni!!Na hilo ndio tatizo la vyama vyetu hivi vya upinzani,wakubwa huwa hawataki mabadiliko,haiingii akilini kwamba eti cuf haina watu wengine wanaoweza kushika nafasi za uenyekiti na ukatibu mkuu zaidi ya Lipumba na Maalim,hii sio kweli,wamekaa kwenye vyeo hivyo kwa muda mrefu kiasi hicho kwa hila,huo ni ubakaji wa demokrasia,Hamad Rashid yuko right katika hili namuunga mkono kwa kuanzisha vuguvugu la mabadiliko ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kumkabili swahiba wake maalim seif,kina Juma Duni wanamuogopa seif japo kimoyo moyo najua hawakubaliani nae,ndevu watu wengi wanamuogopa pale cuf lakini Hamad Rashid atamtingisha kwa anamjua vizuri wametoka mbali na pia ni mpemba mwenzake sio muunguja,hivyo ni wazi pia nae atakuwa na base yake pemba,naamini hajakurupuka anajua anafanya nini.
Wapo kwa mjibu hakuna anayewatukuza nakwa sasa mfahamu Maalim seif ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar!!!Weka akilini!Hapana na wewe unakosea,hawa wenyeviti wa vyama msiwatukuze kupita kiasi,matokeo yake ndio wanaanza kung'ang'ania madaraka,mboe pia inatosha,huwezi kuserve zaidi ya miaka kumi,hiyo sio kampuni ambayo mwenyekiti wa kampuni mfano ya IPP toka tuko shule ni Reginald Mengi tu,hicho ni chama cha siasa tena cha kidemokrasia,mi sikubali kwamvba chadema eti haina watu wazuri wa kuiongoza zaidi ya mbowe,sio kweli,hawa jamaa tuwabane wakubali mabadiliko ili kuleta mawazo mapya,msiwe kama cuf na nccr wenyeviti na makatibu ni walewale miaka nenda rudi,msimuharibu mboe nae akawa kama hao.
Hamad inaelekea ndiyo tabia yake maana nakumbuka kwenye kambi ya upinzani alivyo waandama Chadema akitak na wao wawemo kwa lazima wakati kanuni zipo wazi na mwisho Spika akawaeleza waliokuwa wakimuunga mkono kwamba Chadema ndiyo chama kikuu cha upinzani hivyo kinaweza kuamua kipange safu yake yaupinzani bungeni bila kuwashilikisha wapinzani wengine hivyo haitakiwi kuwalazimisha kamwe!!Acha wagombane ili tufaidi. Hamad alipokosa kuongoza upinzani bungeni akaanza kuchachafya cdm-anatamaa sana.
Seif huyo ni kibaraka wa ccm hana maana kuendelea kuongoza chama. Cuf itakufa kama seif ataendelea kuwa katibu mkuu. Hayo makubaliano ya seif na karume ni yapi? Mbona siri? Ccm ianuwa cuf taratibu. Cuf wakumbuke kuwa mseto umetokana na wao kushinda vita vingi wakivikosa 2015 kwaheri. Mbona kutoa vitambulisho vya mzanzibari mkazi wwanapewa wa ccm na kuwabagua wa cuf. Tafakari! Mseto gani huo wa ubaguzi? Mbona seif amepoa kwa hilo?
Hapa kwa ninachokiona Hamad Kaisha chuja kisiasa hapa anatafuta platform hakuna kingine kwakuwa na chama chenyewe kimetekwa na CCM hakiwezi kuvuma!!Huyu Hamad anauroho wa madaraka pia amezeeka sana uwezo wake wakufikiri nakubuni vitu vipya unatia shaka cuf inawahitaji watu kama kina Jussa kuleta changamoto mpya na sio hawa wazee wawili waliochoka.
Ndokawaida ya watu wanaoporomoka kisiasa lazima watafute tundu lakutokea!!Ila nadhan Rashid hatafua Dafu,maana mbinu zake c nzuri!