Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,674
20200525_171452.jpg

Leo ni siku ya PILI watu waki enjoy siku kuu ya Eid!

Nimetembea hadi coco beach kwenye PARTE AFTER PARTE YA MKOA LEO, nilifika pale mida ya saa kumi jioni nikiwa nataka kuona kwa macho kama ni kweli watu wana enjoy bila hofu!

Nimeshuhudia watu weeeengi kabisa watoto kwa watu wazima, watanzania kwa wazungu, waarabu na wahindi.

Watu hatukuvaa barakoa wala social distance,
Tulijazana na kuogelea makundi makundi kama zamani!

Watu waliotoka Gongo la Mboto, Mbagala na Temeke au Ilala huko walijaza ufukwe!
Watu walikua wanakula chakula walichobeba kutoka home, wengine walinunua mihogo, soda na beer!
Wengine walipata wapenzi wapyaaaaa japo wengi ni wasichana wadogo wadogo na sio wasafi!
Kwa umati nilioshihudia leo NADHANI hakuna corona virus dar es Salaam!
Kama ipo tumeumia.

20200525_165450.jpg


Video: chini
 
Brazil ya pili hiyooooooo inakuja
Tutalia na kusaga meno
WHO watawawajibisha watu fulani fulani
Kuanzia week ijayo tutafutana

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

So sad
Nataman niweke picha zote lakin ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom