Kwa ni lazima utangaze?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ni lazima utangaze??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Apr 25, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wengine bwana si waastaarabu hata kidogo, sijui wamejiumbaje umbaje??

  Wewe unafanya kitu au jambo na mtu mkiwa wawili tu, lakini unakwenda mtaani unatangaza ili iweje? Mtu ulikuwa naye wewe na yeye mbaaaali na mnapoishi lakini baada ya siku moja tu mtaa mzima unajua, huu nao ni ustaarabu? Umemkopesha hela mtu kimya kimya lakini anapofanikiwa au anaposhindwa kulipa mzee unaanza kubwabwaja mtaani kwamba ulimkopesha hela.


  Si kila jambo unalomfanyia mtu mwingine ulitangaze kwa watu, kuwa na "Kifua" ndugu yangu!!
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kigarama imekuweje tena?
  umenikumbusha mshkaji flani zamani kila akienda kufanya mapenzi na mdada...anakuja hostel kutupa mkanda mzima...mpaka idadi za magoli...kiufupi alikua anaboa!...si uungwana hata kidogo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Pole sana jamaa hajafanya vizuri kukutangaza.
   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mbona na wewe unatangaza hapa.Si uwafuate wao wenyewe wanaokutangaza mtaani
   
 5. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si umeona eenh!! Nimemkuta jamaa anasimulia jinsi mwenzake alivyokwenda naye kwa waganga ili aupate ubunge na matambiko waliyoyafanya. Sasa wapiga kura wake wakimuona jamaa wanamchukuliaje. GAGULA?
   
 6. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kigarama pole sana..

  Au unakuta ulimsaidia "bimama" wa over 45 kimahaba,na mkakubaliana iwe siri.. Unakuja kusikia kuwa,"Oh..yule mama aliniambia wewe ni shemeji yetu.."

  yaani!
   
 7. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  umeona nimetaja jina la mtu?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukikopa lipa ili wasikufedheeshe,fedha fedhea!
   
 9. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  king kong

  Mkopo hauwi deni mpaka siku ya kulipa ipite!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapo maswali yanaanza... ilikuwaje mzee ukatoka na limama kama lile...
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  dawa ya deni kulipa........

  Na hakuna siri ya watu wawili....
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Tumekupata mkuu, acha niwasiliane na tume ya katiba hili dukuduku lako nalo pia lipenyezwe kwenye katiba.
  Tunakushkuru sana kwa kuona uoza na ukaamua kuukemea.
  Asante sana
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Teh! Teh! Hii Katiba mbona itakuwa na kurasa milioni moja!!
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hujaelewa ww...acha kutoa povuu...ala!
   
 15. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  BAGAH
  Wakati mwingine simu za Mchina huwa zinapeleka ujumbe tofauti kwa mtumiaji!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  unafikiri katiba itajadili umbea?
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mkuu, unajua unaongea na nani?
  saini yangu tu basi inaweza ikazuwia misaada kuingia Tanzania
   
 18. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu wamekuanika nn? ulikopa au umemgonga yule mama alafu mambo yaka wekwa mezani? pole sana "HUO NI UPEPO NA UTAPITA"
   
 19. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  kuna wengine huwa wanawashwa mdomo bila kuchonga hawaoni rahhhaaa
   
 20. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hao sie tunawaita CNN
   
Loading...