Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Baada ya msiba kutokea na mwandishi huyu kujitokeza na kuonyesha huruma(inayotiliwa shaka),watu wengi wamemshambulia kwa maneno ya kila aina ikiwemo kuambiwa anajipendekeza/anatafuta uteuzi,n.k
Mimi binafsi sina imani na mwandishi huyu na hii ni kutokana na aina ya uandishi wake unaotia shaka hivyo naungana na wale wote wanaompinga.
Hata hivyo,naomba niwaambie tu,kwa kitendo cha kumshambulia na kumwambia anatafuta uteuzi,Bwana yule ataamua kumpa "ulaji "ili kuwakomoa wale wote mnaomshambulia maana hii ndio kawaida ya Bwana yule kama mmemsoma vizuri.
Naamini hata Mwandishi huyu anajua kuwa kwa kumshambulia kwake,ni sawa na kumpiga chura teke.
Binafsi namalizia kwa kusema hata akizawadiwa cheo,ukweli anaujua mwenyewe na kama alifanya vile kwa faida zake binafsi(kwa makusudi maalumu), basi anayosemwa yanastahili na yatabaki kuwa ya kweli hata akipewa ulaji.
Time will tell.