Kwa namna hii kwanini wanafunzi wasifeli

Kwa namna hii kwanini wanafunzi wasifeli

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
2,824
Reaction score
1,099
ona mwenyewe
 
Attachments

  • 1409741111795.jpg
    1409741111795.jpg
    43.4 KB · Views: 1,317
Yani hapo ndoo imuumize kalio lake aumize kichwa kufundisha mitoto loh nasepa fasta
 
Yani hapo ndoo imuumize kalio lake aumize kichwa kufundisha mitoto loh nasepa fasta

Ukisepa ujue na wew una kaz nyingne yenye maslah na security nzur
mim tang nimeajirwa huu ni mwez wa4 cjapta mshahra bt bado npo kwa job naamin oneday i wl make it fyn
 
Ukisepa ujue na wew una kaz nyingne yenye maslah na security nzur
mim tang nimeajirwa huu ni mwez wa4 cjapta mshahra bt bado npo kwa job naamin oneday i wl make it fyn

Haaaghh wewe unasema? Mwezi wa ? Hujafanya nini? Afu unaendelea kula vumbi?? Weee wacha uzembe nenda kadai chako
 
Dah...Masikini baba wa watu katupia mwenyewe. Sijui kama wanafunzi wanampa moyo...
 
Hivi Sita na wajumbe wake wa BMK huwa hawazionagi picha hizi

sio kuona tu wanatembeleaga maeneo hayo live lakini mkakati wa kuzibooresha hauwalipi kama mkakati wa katiba mpya
 
Hyo nchi hii yenye misitu mingi bado walimu wanakalia ndoo ni aibu sana.
Tz yetu, taifa la wachache
 
Back
Top Bottom