Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Tuwaache watu na imani zao
Kesi ya nyani......kwa tumbili . Oh ni wale wale. Tajiri na ufalme wa Mungu.
Kuandika uandike mwenyewe, story ulete mwenyewe alafu huelew ulichoandika
Umesema, Gari ALINUNULIWA NA MUMEWE mwaka.....
Ushuhuda alioutoa kasema AMENUNUA MWENYEWE
Nadhan nimeeleweka
nenda kwake, ana magari mawili
Usipende ku act lyk GT while you aint... soma tena kisha urudi... b.wege wewe
Usipende ku act lyk GT while you aint... soma tena kisha urudi... b.wege wewe
Nikiangaliaaga kile kipindi,huwa nawasikitikia sana wale waumini. Wale wote wamepangwa!
Naumia sana kuona watanzania wenzangu wakidanganyika kwa mbinu za kikanjanja kanjanja. Nimeumia zaidi baada ya kuona mtu ninayemfahamu ametumika kudanganya umma.
Katika segment moja ambayo huwa inaonyesha shuhuda mbalimbali kutoka kwa waumini wake. Hivi karibuni kupitia channel ten walionyesha shuhuda za magari kupitia Mungu wa Mzee wa Upako.
Kuna dada mmoja(yeye anajijua), huyu dada ni mtoto wa mzee Nakomolwa, kwao kabisa ni Mbeya eneo moja linaitwa Nzovwe na kwa hapa Dar anaishi Ubungo Riverside.
Dada huyu alinunuliwa gari na mume wake mwaka 2010 na hana gari jingine (ninamfahamu vizuri huyu dada).
Nimeshtuka sana kuona hivi majuzi kwenye Channel Ten akitoa shuhuda kwa kumshukuru Mzee wa Upako kumuwezesha kununua gari, anasema toka ameanza kusali kanisani kwa mzee wa upako mwaka jana ndio amenunua gari wakati anayo gari toka mwaka 2009.
Wewe ni kama dada yangu na nina kuheshimu sana, kwanini unamkosea heshima mumeo aliyekununulia gari? Kwanini unakosa hofu ya Mungu, umepewa shilingi ngapi kushiriki katika huo mpango wa kumtangazia biashara Mzee wa Upako?
Yaani mumeo ahangaike kukusanya hela akununulie gari wewe unasema ni mzee wa upako?
Huyo ni mmoja tu ambaye mimi nimemtambua, je ni wangapi ambao wametumika katika mbinu hiyo?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)