mwanamuziki
Senior Member
- May 15, 2014
- 122
- 36
Yeye anachagua tu shuhuda za magari na nyumba...watazamaji si wanapenda magari!!!! Ana waumini wengi pia so magari yanakuja tu....
Kuna dada mmoja kwenye shuhuda ananifurahisha sana, anasemaga 'yanii mzee wa upako me nakuelewa vibayaaa'
Kuna dada mmoja kwenye shuhuda ananifurahisha sana, anasemaga 'yanii mzee wa upako me nakuelewa vibayaaa'