Kwa Mzee wa Upako ni magari tu?

Kwa Mzee wa Upako ni magari tu?

Huwa nawaangalia sana wanao kwenda kutoa pesa zao hapo.my b wana 10%

YESU RUDI,, mimi ni Muislam, lakini kwa kweli nahisi YESU huko aliko machozi yanamtoka maana Umma wake unapotea,, maana kwanza niseme YESU alikua ni Kiongozi wa kupigiwa mfano kabisa toka enzi zake hata leo mfano.

1. Yesu hakua mtu wa makuu, hakupenda starehe kabisa na aliwachukia mafarisayo kwa ajili ya kupenda anasa. kwa mfano Wakati Yesu akiwa mfalme pale Jerusalem kulikua na Farasi wa kifahari kabisa kwa hadhi yake angeweza sema nitafutieni farasi mzuri mweupee mwenye manyoa laini ndo niwe natembelea (Hammer kwa leo) lakini wala alipnda Punda wa kawaida kabisa na kuna wakati alishuka kwenye punda ili punda apate kula na kupumua.

2. YESU hakufanya biashara yoyote,,, na aliwachukukia wezi wanaoiba mali za walala hoi,,, LAKINI WAFUASI WAKE LEO WANAUZA MAJI KWA JINA LA ANOYING WATER TENA KWA BEI AMBAYO MASIKINI HAWEZI MUDU. MAJI , MAJI IMAGINE WANAUZA MAJI KWA JINA LA YESU WANAJITAJIRISHA

niishie hapa ila tumuenzi Yesu kwa matendo
 
Good comment safi sana
 
hata mim natamani gari nitaanza kwenda ili nione kunakaukweli
 
Hiyo utasikia Emmanuel TV tu na sio kwa mzee wa upaku.
Kule kuna ushuhuda hadi wa kuweza kusoma biblia bila kusinzia. Kuanza kuheshimu wazazi kwa watoto watukutu.

Na wewe ni muumini huko??
 
WA tz wengi wanaadhani kuwa Na gari Na nyumba ndio utajiri. Kashawasoma sasa anawaibia!
 
"The trials of Brother Jero" - By Wole Soyinka
 
"The trials of Brother Jero" - By Wole Soyinka
 
Nimekuwa nikiangalia mahubiri ya mzee wa upako,kila muumini anaye kwenda kutoa ushuhuda utasikia '' Mimi nilikuja hapa sina gari ila sasa na magari matatu na nyumba mbili''

Sijapata kusikia muumini hata mmoja aliyesema ''Mimi Nilikuwa na kabiashara cha kuuza mchicha kwa kutembeza kwa miguu ila sasa namshukuru Mzee wa upako kwa maombi yake nimepata baiskeli walau naweza kutembeza biashara sehemu nyingi tofauti na mwanzo,"

Hayo magari na nyumba ndani miezi mitatu tu ???

"Tafakari chukua hatua "

Mkuu kwa wabongo wengi utajiri ni kuwa na gari. Mtu anaweza kuwa na mali nyingine za mamilioni lakini bila gari watamuona masikini tu. Hapa jirani yangu kuna mpangaji ana magari mawili lakini mwenye nyumba hana gari watu wanamuona yule mpangaji ni tajiri kuliko mwenye nyumba wake. Hivyo kwa watu wengi kuwa na gari ndio kilele cha mafanikio ndio maana hata wajasiriamali wanaofanya biashara za dini kwa majina mbali mbali huku wao wenyewe wakijivika vyeo mbali mbali vya kidini, wanatumia sana kete ya gari kuwaaaminisha wajinga na kuwavuta kwao na ukifuatilia sana wengi huwa wanaandaliwa ili kuwaanisha watu na kuwavuta kwenye dini zao. Kuna mmoja anajifanya kufufua wafu. Swali la kujiuliza ni wafu gani wanaojulikna kuishi mitaani na watu kama ilivyokuwa mwanzo kabla hawajafa?
 
nimekuwa nikiangalia mahubiri ya mzee wa upako,kila muumini anaye kwenda kutoa ushuhuda utasikia '' mimi nilikuja hapa sina gari ila sasa na magari matatu na nyumba mbili''

sijapata kusikia muumini hata mmoja aliyesema ''mimi nilikuwa na kabiashara cha kuuza mchicha kwa kutembeza kwa miguu ila sasa namshukuru mzee wa upako kwa maombi yake nimepata baiskeli walau naweza kutembeza biashara sehemu nyingi tofauti na mwanzo,"

hayo magari na nyumba ndani miezi mitatu tu ???

"tafakari chukua hatua "

ukisoma biblia kuna sehemu inasema "zipimeni kwanza hizo roho maana zingine hazitokani na mungu"
 
sikatai mungu anawezaa kukubariki naa kukutendea miujiza. Lakini,behold!,tumeambiwa tuichunguze sana hii miujiza. Kwa sasa watu wanacheza na akili za watu wenye uhitaji wa utajiri wa haraka haraka ili wawaibie pesa!. Hivi chief accountant general-cag-bwana utoh na taasisi yake hawana mamlaka ya kisheria kukagua ngo na taasisi za dini kama hizi?. Tuwaache hao mabwege waliwao,lakini tujue tu mapato na matumizi ya hizi taasisi yanakwendaje.

mkuu anaitwa controller & auditor general [cag] hata hivyo sheria haimruhsu kukagua makanisa na miskiti ila ngo endapo itapewa fedha na serkali ama taasisi yake mfano tacaids anaweza kagua matumizi na namna fedha hizo zimetumika na kuishauri serkali
 
Back
Top Bottom