Nimekuwa nikiangalia mahubiri ya mzee wa upako,kila muumini anaye kwenda kutoa ushuhuda utasikia '' Mimi nilikuja hapa sina gari ila sasa na magari matatu na nyumba mbili''
Sijapata kusikia muumini hata mmoja aliyesema ''Mimi Nilikuwa na kabiashara cha kuuza mchicha kwa kutembeza kwa miguu ila sasa namshukuru Mzee wa upako kwa maombi yake nimepata baiskeli walau naweza kutembeza biashara sehemu nyingi tofauti na mwanzo,"
Hayo magari na nyumba ndani miezi mitatu tu ???
"Tafakari chukua hatua "