Mashine za kuoshea makapeti

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,070
1,687
Je Kuna mashine za kuosha makapeti?

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili naomba anijuze tafadhali , maana kuna makala moja nimesoma nikaona kwamba sehemu ambazo wanaosha magari wanafanya pia na huduma za kuosha carpet na zuria"

Sasa nilitaka kufahamu kwamba mashine wanayotumia kuoshezea zuria ni ile compressor ya kuoshea magari au kuna mashine nyingine tofauti na iyo? na kama kuna mashine tofauti na compressor bas mwenye ufahamu naomba anijuze tafadhali
 
Ngoja na mimi nisubiri mwenye kulifahamu hilo maana na mimi nafahamu sehemu za magari ndio wanahisika na mazuria/makapet kuyaosha waje watupe moja mbili tatu
 
Back
Top Bottom