Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,099
- 649
habari wadau! naomba kwa mwenye wimbo wa jumuiya ya afrika mashariki (audio), nauhitaji. nimeona jana wakuu wa nchi wakiimba, nimeupenda sana. naomba unitag ukiuupload. thanks!