Kwa mwenendo .huu:tunaitaji jf mabadiliko iliyo huru

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Tukieelekea uchaguzi tunaitaji.toba na.msamaha wa dhambi kwa ajiliya taifa letu

Kingine n.kuona uhuru wa mtandao..nimekuwa.nikiona.malalamiko.mengi juu ya kufhtwa.ama kutokuwepo thread za wapinzani

Nimejaribu kuliangalia siku kadhaa napata mahaba ya.kuamini hilo..wazo tu naamini jf.mna nia.njema.ya mabadiliko vyema wote wakapewa usawa aiza wanapoweka thread za kuwahusu chama cha mapinduzi tuwe na subra tuwape.watu.mds
 
Tuwape.mda watoe yaliyomoyoni..wakati mwingine tukifungua jf.nahis nafungua web ya chama fulan vile
 
Back
Top Bottom