Kungarochi
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 271
- 572
Nitaumia sana kama shabiki yake mkubwa wa mda mrefu.Ni hasara gani utaipata diamond akipotea?
Ww mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.Thread za kumsahau Diamond zilianza tangu 2012..na leo ni 2021 ..huyu mtu kashindikana Muacheni tu... hata Waah mliidis haitofika kokote
Kama wananchi tuna akili za kuwatakia mabaya wananchi wenzetuToka mwaka 2015 walikua wansema hvo hvo kua atapotea ajabu mpk leo bado yupo.....kila mtu na upepo wake ache watu wale maisha bhna
Dai mwenyewe kwan lazima wote tudai katiba mpya.Kama wananchi tuna akili za kuwatakia mabaya wananchi wenzetu
Tutaweza kweli kuidai katiba mpya?
Wananchi wa hili taifaDai mwenyewe kwan lazima wote tudai katiba mpya.
Mimi sishuhudii uwongo,,,Ngoma 5 hizo zipi zilizobuma? Diamond ana consistency ya hali ya juu sana... Unataka kusema Iyo imebuma? Naanzaje nayo imebuma? ..huyu jamaa hawezekaniki... Kaanza kudisiwa tangu 2012 uko kua hatoboiWw mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.Mimi sishuhudii uwongo,,,Ngoma 5 hizo zipi zilizobuma? Diamond ana consistency ya hali ya juu sana... Unataka kusema Iyo imebuma? Naanzaje nayo imebuma? ..huyu jamaa hawezekaniki... Kaanza kudisiwa tangu 2012 uko kua hatoboi
Raha ya mleta uzi ni kuona diamond anashukaMimi sishuhudii uwongo,,,Ngoma 5 hizo zipi zilizobuma? Diamond ana consistency ya hali ya juu sana... Unataka kusema Iyo imebuma? Naanzaje nayo imebuma? ..huyu jamaa hawezekaniki... Kaanza kudisiwa tangu 2012 uko kua hatoboi
Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
Umetumia vigezo vipi kusema hivi?? Mbona huko utubu na streaming platforms zote anakimbiza!!Ww mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
Soma upya bandiko langu hakuna sehemu yyt nilipomuombea domo kufeli.Baadhi yetu tuna kasumba ya kuombea watu wafeli kimaisha badala ya kusaidiana kufikia malengo kimaisha
Umetumia kigezo gani?Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
Kwahiyo unaifananisha Instagram na Jamii forumNi hasara gani utaipata diamond akipotea?
Akili za Instagram unazileta jf.