Kwa mwendo huu, mtasubiri sana dada zetu

Unajua jambo ambalo mnakosea huwa mnahisi mwanamke yeyote lazima awe anajua majukumu yake km mwanamke ndani....no no no.....kuna makuzi na malezi wengine wanapitia hata hawalitambui hilo, navyojua mkitakana kuwa mke na mume kila mmoja huwa na juhudi za kumtengeneza mwenzie awe km anavyotaka
Am sorry mimi siwezi kuanza kumuelekeza majukumu basic kama hayo. Kama wazazi wake hawakumfunza ndo basi tena
 
Na unajua pengine hata wewe una mapungufu yako mwanamke utayekuwa naye km mke atakuwa na kazi ktk marekebisho ili uwe kichwa cha familia jamani hata sisi tunapata tabu
 
Ni juu yake kama ataweza kuyavumilia hayo mapungufu. Ila mimi mwanamke ambaye hawezi kupika siwezi kumvumilia hata kidogo. Na sina maana kuwa mke ntaoa kwa ajili ya kunipikia, hapana. Anatakiwa ajue ili aweze kumuelekeza huyo housegirl
 
Wanasemaga ivo afu mnakuja kuoa wa hovyooo sasa ktk uchumba wenu utampa interview au mtaishi nyumba moja mkizini kwanza huku akifanya majukumu ya wife na akati bado ni girlfriend ndo akuridhishe kuoa au laa
 
Sasa wewe unaoaje mtu hujawahi ishi nae hata mwezi!?
 
Hata km ana mapungufu yake ila Basic zake lazima azijue, sawasawa na huyo mwanamke lazima ujue majukumu yake japo kidogo hayo mengine professional wataelekezana.
Na unajua pengine hata wewe una mapungufu yako mwanamke utayekuwa naye km mke atakuwa na kazi ktk marekebisho ili uwe kichwa cha familia jamani hata sisi tunapata tabu
 
Wewe mtu tunakaa mtaa mmoja lakini hata siku moja hujawahi niita kwako unipikie japo ugali tu!

Kila siku wewe ukipiga simu unauliza weekend wapi!!

Halafu eti unauliza lini nitakupeleka kwa wazazi!

Mkuu usipende kulilia kupikiwa na wanawake haswa hawa wa Dar dizaini ya bongo muvi......atakualika kwake, kisha akupikie chakula kilichowekwa madawa ya hajabu ili upoteze network uanze kujigonga kwake na kuanza kumpenda yeye bila kutarajia. Kuwa mwangalifu sana na hawa mademu.
 
Niko makini mkuu

Hahaaa,anashindwa kujiongeza,huyo hana cfa ya kuwa mke
 
Back
Top Bottom