Kwa mwendo huu, mtasubiri sana dada zetu

Mimi ninavyojua Mwanamke au Binti anayejua thamani yake pamoja na taratibu za kuolewa hawezi kukukaribisha kwake au kwao mapema...mpaka wewe umempeleka kwako/ kwenu kwanza.

Ndivyo inavyokuaga...ili asiwe amejipendekeza kwako.

Kutaneni mhl pengine kwnz hlf baadae andaa madikodiko aje kukupikia getho kwako ujue kama ni fundi wa mapishi....then ndio uje utaratibu mwingine.
 
Kwangu kaja sana ila asubuhi anauliza supu tukale wapi
 
Nkuite kwangu nkupikie ugali ulihemea?
Mnapenda vitonga saana mpate sehem ya kula mwsho utataka ulale
Wanaume wa design yako wananiboa saana
Hujui hata mambo ya kitonga. Au ni mchoyo sana. Kumpikia mtu ugali hata mara moja huwezi!!?
 
Nitamuelewa kama ni bikira tofauti na hapo wacha nifanye taratibu nyingine
 
Back
Top Bottom