rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,892
- 9,702
Kama yapiHivi wanaume muda wote mnawaza hbr za wanawake tu! Wazeni ni mambo mengine.
Kama yapiHivi wanaume muda wote mnawaza hbr za wanawake tu! Wazeni ni mambo mengine.
Mtukane matusi ya ki congoWewe mtu tunakaa mtaa mmoja lakini hata siku moja hujawahi niita kwako unipikie japo ugali tu!
Kila siku wewe ukipiga simu unauliza weekend wapi!!
Halafu eti unauliza lini nitakupeleka kwa wazazi!
Uku ndo mahala pake ndo maana kuna majukwaa tofat tofauti pole au na we ndo wale wa baby Leo kiba atakua maisha clubHivi wanaume muda wote mnawaza hbr za wanawake tu! Wazeni ni mambo mengine.
Wewe mtu tunakaa mtaa mmoja lakini hata siku moja hujawahi niita kwako unipikie japo ugali tu!
Kila siku wewe ukipiga simu unauliza weekend wapi!!
Halafu eti unauliza lini nitakupeleka kwa wazazi!
Sasa kama anaona sistahili kupikiwa kwetu anataka nikamtambulishe ili iweje!!?Huyo atasubiri sanaa na nakuunga mkono kaka.
Sema labda kaona hustahili kupikiwa maana na sisi bwana
Kwa nn usimwite ww mkuu?? Unajua wanawake wanaojielewa hawapeleki wanaume kwake?
KabisaHuwa nashangaa wale wanaotafuta wake huku jf, Kwa nini wasiwe wanafatilia thread kama hizi, sababu hapa ndo utaelewa tabia za KE kwenye comments zao.
What do lovers do when they are courting?Yaan mwanamke aliyepanga/ kujenga kwake apike akuite ukale mwanaume ambaye ni boyfriend tu???
Labda tungejua unadate na binti wa umri gani mkuu pengine ni hivi vi form four vilivyoingia mtaani ivi karibuniNikampa hera aende buchani. Akanuna
Huwezi amini ni mdada mtu mzima na anakaribia 30!Labda tungejua unadate na binti wa umri gani mkuu pengine ni hivi vi form four vilivyoingia mtaani ivi karibuni
Unajua jambo ambalo mnakosea huwa mnahisi mwanamke yeyote lazima awe anajua majukumu yake km mwanamke ndani....no no no.....kuna makuzi na malezi wengine wanapitia hata hawalitambui hilo, navyojua mkitakana kuwa mke na mume kila mmoja huwa na juhudi za kumtengeneza mwenzie awe km anavyotakaHuwezi amini ni mdada mtu mzima na anakaribia 30!
Mpumbavu huyo temana nae chakubanga yyHuwezi amini ni mdada mtu mzima na anakaribia 30!