ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Well said!Wapinge nini sasa wakati sera walizokuwa wakiziimba zote ndio zilinazo tumika imebidi wahamie kwenye lawama wapewe kanga za kujifunga. LONG LIFE OUR PRISEDENT
Well said!Wapinge nini sasa wakati sera walizokuwa wakiziimba zote ndio zilinazo tumika imebidi wahamie kwenye lawama wapewe kanga za kujifunga. LONG LIFE OUR PRISEDENT
Umeona ehh!Akili ya magufuli ni ya juu si ya dunia hii. Yaan keshawavuruga saiz kinachofuata ni kuanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe
Ouch!wanasubiri matamko ya viongozi wa dini!..kwisha
Na wewe je utabaki kama unajua huyu atafuatia kufa basi na wewe unajua lini utakufa. Acha kutoka nje ya mada sio lazima uchangie unaweza kunyamaza tuUnashangilia kufa kwa upinzani? Tambua kuwa kama upinzani utakufa kama udhaniavyo wewe,basi atakayefuata kufa ni wewe na wengine wanaofanana akili na wewe.Upinzani upo ndani ya akili,siyo ofisini,hivyo basi kamwe upinzani hauwezi kufa,bali utavuka mipaka.Kwakweli mleta Uzi umejipambanua jinsi ulivyo na fikra nyepesi zitokanazo na mapokeo.
Elewa wewe,amesema upinzani utakufa!Upinzani hauwezi kufa kwasababu upinzani ni fikra siyo majengo,siyo ruzuku,siyo wabunge,bali ni mtazamo wa mtu mmojammoja ktk mambo mbalimbali.Hivyo basi kama na wewe unadhani mawazo kinzani huwa yanakufa kwakutokuwa na chama cha upinzani basi ni pole sana kwa mtazamo wa mapokeo mlioambukizwa.Kwa hali hiyohiyo unaamini kuwa yupo mtu atauwa mawazo yako?Acheni fikra za kushikiliwa,mnatuaibisha watanzania wenzenu kwa michango isiyotumia critical thinking.Na wewe je utabaki kama unajua huyu atafuatia kufa basi na wewe unajua lini utakufa. Acha kutoka nje ya mada sio lazima uchangie unaweza kunyamaza tu
Utakufa mwenyewe na njaa zako.Wakuu kama mnaangalia namna game inavyochezwa mtagundua mbinu anayotumia mhe. Rais ni ile tunaita mchawi mpe mwanao amlee.
Rais alianza na Prof. Kitila, baada ya muda Zitto (mb) akasema rais ameamua kufanya kazi na watu wote, tukumbuke huyu Prof. Kitila alikua mkosoaji wa serikali kabla ya kupata nafasi ya kuingia kwenye system, sasa kaingia kimyaaa.
Leo rais amemteua Mama Anna Mghwira kua RC Kilimanjaro.
Amini usiamini Zitto atapongeza na kimsingi rais kawafanya wapinzani wakose hoja aisee.
Rais kama atasoma huu uzi naomba amteue mhe. Lissu ili tujue rangi yake halisi maana analawama na vitisho sana.
Mhe. Rais nakuomba umteue Lissu ndo tutajua kama ni akili ya njaa au ni mzalendo.
Naishia hapa kwa leo ila upinzani unakufa bila kelele.
Rais Magufuli ni genius amini msiamini.
Naona wadau wananikejeli mnadhani mimi ni mchumia tumbo, mimi sio CCM wala Chadema hivyo vyama mnavyo nyinyi, mimi nimetoa maoni kama mtanzania tu.
Mnisamehe ila ndo ninachoona mimi
Unashangilia kufa kwa upinzani? Tambua kuwa kama upinzani utakufa kama udhaniavyo wewe,basi atakayefuata kufa ni wewe na wengine wanaofanana akili na wewe.Upinzani upo ndani ya akili,siyo ofisini,hivyo basi kamwe upinzani hauwezi kufa,bali utavuka mipaka.Kwakweli mleta Uzi umejipambanua jinsi ulivyo na fikra nyepesi zitokanazo na mapokeo.
Naona miezi 2 baadaye Rais alisikia ushauri wako na kumteuwa Lissu atangulie mbele ya haki japo alishindwa.Wakuu kama mnaangalia namna game inavyochezwa mtagundua mbinu anayotumia mhe. Rais ni ile tunaita mchawi mpe mwanao amlee.
Rais alianza na Prof. Kitila, baada ya muda Zitto (mb) akasema rais ameamua kufanya kazi na watu wote, tukumbuke huyu Prof. Kitila alikua mkosoaji wa serikali kabla ya kupata nafasi ya kuingia kwenye system, sasa kaingia kimyaaa.
Leo rais amemteua Mama Anna Mghwira kua RC Kilimanjaro.
Amini usiamini Zitto atapongeza na kimsingi rais kawafanya wapinzani wakose hoja aisee.
Rais kama atasoma huu uzi naomba amteue mhe. Lissu ili tujue rangi yake halisi maana analawama na vitisho sana.
Mhe. Rais nakuomba umteue Lissu ndo tutajua kama ni akili ya njaa au ni mzalendo.
Naishia hapa kwa leo ila upinzani unakufa bila kelele.
Rais Magufuli ni genius amini msiamini.
Naona wadau wananikejeli mnadhani mimi ni mchumia tumbo, mimi sio CCM wala Chadema hivyo vyama mnavyo nyinyi, mimi nimetoa maoni kama mtanzania tu.
Mnisamehe ila ndo ninachoona mimi
Kununua wapinzani si kipaumbele cha taifa vijana mbona tumekuwa wajinga hiviAkili ya magufuli ni ya juu si ya dunia hii. Yaan keshawavuruga saiz kinachofuata ni kuanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe
Unauhakika na hilo au ndio unapaza sauti tuu kama una mawazo ya kufikiria nakupa hili tu put the whole picture kwa kilicho tokea weka on 3D pic ndio utapata ukweli nani kafanya hilo au mtafute dereva wake atakuambia yote. Tatizo wachache wenye mawazo ya kutafakari wengi ni kama nzi tuu juu ya mavi.Naona miezi 2 baadaye Rais alisikia ushauri wako na kumteuwa Lissu atangulie mbele ya haki japo alishindwa.
Nawewe GT?Utakufa mwenyewe na njaa zako.
Wee unaona Kitila na Mghwira walikuwa wapinzani? Watu walishafukuzwa Chadema kwa unafiki wao, leo mmeokota makapi mnasema wapinzani?
Umetoka na ujinga wako huko Facebook unaleta huku kwa wakubwa JF. Kwendraa ukafie mbele huko
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sanaVyama vya upinzani ni muhimu sana kwa ajili ya kui-shape serikali lakini Sasa vinaondoka kwa kutumia Kodi zetu na tricks za watawala, hakika watanzania tutateseka sana endapo tutakosa vyama pinzani, bila vyama pinzani hakutakua na mtu wa kutusemea bungeni, hakika kudhoofika kwa vyama pinzani ni kiama kwa watanzania.