Kwa mvua hizi ndo nimeona umuhimu wa kujenga Goba!!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Wallah vile kwa mvua hizi ndo naona umuhimu wa kujenga goba tena huku kwenye miinuko

Poleni kwa mlokumbwa na mafuriko huko mabondeni

Sasa nimeamini kwanini wapare wengi na wachaga walokuja Dar walikimbilia kujenga milimani huko Ubungo Kimara hadi mbezi hadi huku Goba!!
 
kimara hiihii au kuna kimara ingine
 
Back
Top Bottom